Korona kagonjwa dhaifu dunia ita proof very soon kupitia tz tuna ishi nakorona bila kuugua mm naona hata kupima tuache tu wapimwe wale tu watakao ambukizwa na kuugua ila wale watakao ambukizwa ila awaugui waachwe tu bila kulimwaKwa sasa kikubwa chukueni tahadhari acheni kusongamana kwenye vilabu, hayo ya nyuma ya pazia yatajadiliwa baadaye ila kimsingi kwa sasa ni kutafuta namna ya kupunguza kuambukizana.
binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...
kama una ndugu,jamaa au rafiki aliyekufa au ana covid19 ambaye ni mtu wako wa karibu naomba nikupe pole.
ila kama na wewe katika watu ambao wamekuzunguka huna mtu wa karibu ambaye unamjua kwa 100% kua ana covid19 fikiria mara mbili mbili
Hata Mimi hakuna, nipo kwenye whatsap groups kibao za primary skuli hadi chuo na makazini, sijawahi kusikia corona case to any of them or their relatives.binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...
kama una ndugu,jamaa au rafiki aliyekufa au ana covid19 ambaye ni mtu wako wa karibu naomba nikupe pole.
ila kama na wewe katika watu ambao wamekuzunguka huna mtu wa karibu ambaye unamjua kwa 100% kua ana covid19 fikiria mara mbili mbili
Wewe ni mkenya?So nikusema wadanganyika ambao wamejaa huku kenya,walitoroka kwao juu ya njaa
Wewe yamekukuta?subiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo...
Tumeruhusu biashara na mambo mengine yaendelee lakini tukasisitiza watu wote wachukue tahadhari dhidi ya Corona
Alaumiwe nan sasa?
Ukweli n kuwa Kenya mna hali mbaya sana tofauti na Tanzania n ndogo sisi tumefanikiwa kuwa na tradition medicine ambayo umefanya vzr wakati Kenya mnapiga propaganda tu.
Chini ya raisi kikwete kipindupindu kilikuwa kinaua kuliko korona tena akikuwa kinaua nchi tajiri mbona atukulalamika sasa huu ugonjwa unaua zaidi nchi tajiri na utajiri wao wameshinda kujiokoa vipi tunamlaumu magufuli mbona kikwete na mkapa atukuwa tukana kwa ugonjwa wa kizembe Wa kipindupindu hata sasa kipindupindu kinaua sana Kenya mbona wakenya awakumtukama Uhuru na jubilii sasa swali ,,, KATI YA KIPINDUPINDU KUUA NA KORONA NI UGONJWA UPI ILIBIDI TUSHUTUMU SERIKALIsubiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo...
Chini ya raisi kikwete kipindupindu kilikuwa kinaua kuliko korona tena akikuwa kinaua nchi tajiri mbona atukulalamika sasa huu ugonjwa unaua zaidi nchi tajiri na utajiri wao wameshinda kujiokoa vipi tunamlaumu magufuli mbona kikwete na mkapa atukuwa tukana kwa ugonjwa wa kizembe Wa kipindupindu hata sasa kipindupindu kinaua sana Kenya mbona wakenya awakumtukama Uhuru na jubilii sasa swali ,,, KATI YA KIPINDUPINDU KUUA NA KORONA NI UGONJWA UPI ILIBIDI TUSHUTUMU SERIKALI
Send by APOLO 1
Hata kama ipo ila ni kama magonjwa mengine wala tusipeane presha na mabeberu wanafake vifo eti wamekufa zaidi ya buku kwa siku kumbe hamna kitusubiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo...
Sasa njaa nani wanazo kati yetu na ninyi? Ninyi kila siku mnapiga domo mmefunga mipaka na Tanzania lakini akili yako ilivyo finyu kutokana na njaa na maisha ya slums umeileta hii mada bila kujua inakuvua nguoAcheni njaaa za umaskini chukua tahadhari, bado mnasongamaana kwenye mabaa, sasa mumefungiwa mipaka na majirani wote, kazi yenu kueneza kirusi tu....
Hebu ona Watanzania waliokwama mpakani Zambia, hawana hata barakoa wanataka kwenda kupeleka kirusi kwenye nchi ya watu.
Mumekua aibu Afrika hii
LOL na ufisadi wote wa mkopo wa Corona?Uhuru hasemwi Kenya kwa sababu anafuata ushauri wa kisayansi yeye sio mkaidi, amewaachia taasisi zifanye maamuzi, hawaingilii na kuwatukana.
Na zaidi ya yote, yupo frontline tena ikulu akipambana, hajakwenda kijijini na kutuacha tufe huku.
So nikusema wadanganyika ambao wamejaa huku kenya, walitoroka kwao juu ya njaa
Kama hamtaki korona mnaingia kufata nini huku?
Huko kwenu si kuna lokidauni Sasa mbona raia zenu zinatapatapa huku?
Mi naona kuna namna mnaitumia kuipiga tz maana nikiangalia na mkulu wetu kukaidi hivyo vikao ni kama kuna kitu kinaendelea na inatafutwa namna ya kuichapa tz kiuchumi na kitalii si bure maana hizo takwimu zenu na huku mtaani ni vitu viwili tofauti kabisa!
Nahisi kuna kitu kinaendelea baina ya serikali yetu na ukanda tuliopo kuna kitu si cha kawaida.
Kipi mkuu korona haina siasa wajinga na wapumbavu ndo wabafikira za kuwaza kwamba kwenye korona kuna mkono wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app