Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

Kwa sasa kikubwa chukueni tahadhari acheni kusongamana kwenye vilabu, hayo ya nyuma ya pazia yatajadiliwa baadaye ila kimsingi kwa sasa ni kutafuta namna ya kupunguza kuambukizana.
Korona kagonjwa dhaifu dunia ita proof very soon kupitia tz tuna ishi nakorona bila kuugua mm naona hata kupima tuache tu wapimwe wale tu watakao ambukizwa na kuugua ila wale watakao ambukizwa ila awaugui waachwe tu bila kulimwa
Nimeusoma huu ugonjwa nimeutambua ni ujinga mtupu

Send by APOLO 1
 
binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...

kama una ndugu,jamaa au rafiki aliyekufa au ana covid19 ambaye ni mtu wako wa karibu naomba nikupe pole.

ila kama na wewe katika watu ambao wamekuzunguka huna mtu wa karibu ambaye unamjua kwa 100% kua ana covid19 fikiria mara mbili mbili

Subiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo.
 
binafsi mimi sina mtu nayemjua ambaye amekufa au ana covid19 ambaye naweza nikamtolea ushahidi kwa uhakika kabisa ila nabaki kusikia tu huku na kule...

kama una ndugu,jamaa au rafiki aliyekufa au ana covid19 ambaye ni mtu wako wa karibu naomba nikupe pole.

ila kama na wewe katika watu ambao wamekuzunguka huna mtu wa karibu ambaye unamjua kwa 100% kua ana covid19 fikiria mara mbili mbili
Hata Mimi hakuna, nipo kwenye whatsap groups kibao za primary skuli hadi chuo na makazini, sijawahi kusikia corona case to any of them or their relatives.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CS Amana ametangaza kuwepo kwa Madereva wa malori tisa ambao ni raia wakenya waliotoka Tanzania na wame-test positive.

Tanzania ni jamvi la corona virus mjichunge
 
Fafanua Cs Amana ni nani na wawapi? Walikutwa katika vipimo vya wapi? Hao madereva walikuwa safarini kwenye nyumba za wageni au karantini? Kisha njoo na habari kamili.
 
MK254,

Tumeruhusu biashara na mambo mengine yaendelee lakini tukasisitiza watu wote wachukue tahadhari dhidi ya Corona

Alaumiwe nan sasa? Ukweli n kuwa Kenya mna hali mbaya sana tofauti na Tanzania n ndogo sisi tumefanikiwa kuwa na tradition medicine ambayo umefanya vzr wakati Kenya mnapiga propaganda tu
 
Tumeruhusu biashara na mambo mengine yaendelee lakini tukasisitiza watu wote wachukue tahadhari dhidi ya Corona

Alaumiwe nan sasa?

Ukweli n kuwa Kenya mna hali mbaya sana tofauti na Tanzania n ndogo sisi tumefanikiwa kuwa na tradition medicine ambayo umefanya vzr wakati Kenya mnapiga propaganda tu.

Acheni njaaa za umaskini chukua tahadhari, bado mnasongamaana kwenye mabaa, sasa mumefungiwa mipaka na majirani wote, kazi yenu kueneza kirusi tu.

Hebu ona Watanzania waliokwama mpakani Zambia, hawana hata barakoa wanataka kwenda kupeleka kirusi kwenye nchi ya watu.

Mumekua aibu Afrika hii

2396251_20200511_100332.jpg
 
subiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo...
Chini ya raisi kikwete kipindupindu kilikuwa kinaua kuliko korona tena akikuwa kinaua nchi tajiri mbona atukulalamika sasa huu ugonjwa unaua zaidi nchi tajiri na utajiri wao wameshinda kujiokoa vipi tunamlaumu magufuli mbona kikwete na mkapa atukuwa tukana kwa ugonjwa wa kizembe Wa kipindupindu hata sasa kipindupindu kinaua sana Kenya mbona wakenya awakumtukama Uhuru na jubilii sasa swali ,,, KATI YA KIPINDUPINDU KUUA NA KORONA NI UGONJWA UPI ILIBIDI TUSHUTUMU SERIKALI

Uhuru hasemwi Kenya kwa sababu anafuata ushauri wa kisayansi yeye sio mkaidi, amewaachia taasisi zifanye maamuzi, hawaingilii na kuwatukana.

Na zaidi ya yote, yupo frontline tena ikulu akipambana, hajakwenda kijijini na kutuacha tufe huku.
 
subiri na wewe yakikukuta ndo utaelewa maanake wengine ni kama matomaso..mpaka yawakute ndo mnaelewa na kuamini ipo...
Hata kama ipo ila ni kama magonjwa mengine wala tusipeane presha na mabeberu wanafake vifo eti wamekufa zaidi ya buku kwa siku kumbe hamna kitu

Kufa tutakufa tu hata tusipokua na corona kwa hio tusitishane
 
Kwani waliingia lini Tanzania na kukaa kwa muda gani? Wametoka na Corona yao huko Kenya, they have been noticed just because they are diagnosed at the border post, kama wangepimwa wakati wanaingia Tanzania pia wangekutwa navyo, kwani mbona Uganda kila siku mnakutwa navyo

Sababu naona kuna mradi unaoendelea hapa na watu wenye akili visoda lazima uwasombe
 
Acheni njaaa za umaskini chukua tahadhari, bado mnasongamaana kwenye mabaa, sasa mumefungiwa mipaka na majirani wote, kazi yenu kueneza kirusi tu....
Hebu ona Watanzania waliokwama mpakani Zambia, hawana hata barakoa wanataka kwenda kupeleka kirusi kwenye nchi ya watu.
Mumekua aibu Afrika hii

2396251_20200511_100332.jpg
Sasa njaa nani wanazo kati yetu na ninyi? Ninyi kila siku mnapiga domo mmefunga mipaka na Tanzania lakini akili yako ilivyo finyu kutokana na njaa na maisha ya slums umeileta hii mada bila kujua inakuvua nguo

Kama mmefunga mipaka na Tanzania sasa hao madereva walitokaje Kenya kuingia Tanzania na wanarudije tena Kenya kutokea Tanzania?

Kwani ninyi hamna bandari? Yaani IQ yenu ya kuku ina uheri.
 
Uhuru hasemwi Kenya kwa sababu anafuata ushauri wa kisayansi yeye sio mkaidi, amewaachia taasisi zifanye maamuzi, hawaingilii na kuwatukana.
Na zaidi ya yote, yupo frontline tena ikulu akipambana, hajakwenda kijijini na kutuacha tufe huku.
LOL na ufisadi wote wa mkopo wa Corona?

Yaani ninyi mnatapeliwa mpaka raha na uhuru

Watu 15k kwenye hizo slums zenu hawana pa kulala baada ya kuvunjiwa mabanda yao halafu mmetulia tu
 
Kama hamtaki korona mnaingia kufata nini huku?

Huko kwenu si kuna lokidauni Sasa mbona raia zenu zinatapatapa huku?

Mi naona kuna namna mnaitumia kuipiga tz maana nikiangalia na mkulu wetu kukaidi hivyo vikao ni kama kuna kitu kinaendelea na inatafutwa namna ya kuichapa tz kiuchumi na kitalii si bure maana hizo takwimu zenu na huku mtaani ni vitu viwili tofauti kabisa!

Nahisi kuna kitu kinaendelea baina ya serikali yetu na ukanda tuliopo kuna kitu si cha kawaida.

Swali la msingi hapa ni kwanini Tanzania? kama unasema wanaichapa? Tanzania kuna nini cha ajabu? what is so special in this country that other countries watuchape? Why?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom