Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa Bajaji na Bodaboda Mkoa wa Kigoma, wameazimia kutunza amani na kufuata sheria za nchi katika kudai haki ili kuepusha madhara makubwa zaidi ya uvunjifu wa amani
Soma pia
Soma pia
- PostGE2025 - Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9
- PostGE2025 - Madereva bodaboda na Bajaji, Kilimanjaro: Hatuhusiki na vurugu za Oktoba 29