Ulitaka waseme kweli mkawateke chap? Maana naona bado mnaendelea kuteka watu..Madereva bodaboda na bajaji Kigoma waahidi amani na kutoshiriki Maandamano
Kwani MU29 Kigoma waliandamana?Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa Bajaji na Bodaboda Mkoa wa Kigoma, wameazimia kutunza amani na kufuata sheria za nchi katika kudai haki ili kuepusha madhara makubwa zaidi ya uvunjifu wa amani
Soma pia
- PostGE2025 - Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9
- PostGE2025 - Madereva bodaboda na Bajaji, Kilimanjaro: Hatuhusiki na vurugu za Oktoba 29
Kumbe bado hizi propaganda zipo? Mie nilidhani zimezikwa October 29Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa Bajaji na Bodaboda Mkoa wa Kigoma, wameazimia kutunza amani na kufuata sheria za nchi katika kudai haki ili kuepusha madhara makubwa zaidi ya uvunjifu wa amani
Soma pia
- PostGE2025 - Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9
- PostGE2025 - Madereva bodaboda na Bajaji, Kilimanjaro: Hatuhusiki na vurugu za Oktoba 29