Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Madereva wa daladala na makondakta wa Dar kuweni na utu na muige mfano kwa wenzenu wa Dodoma

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Asilimia kubwa ya daladala za dar makondakta huwa wanakataa kubeba wanafunzi zaidi ya watano.. Akishabeba wawili watatu hataki tena kubeba wengine na nafasi ipo anachukua watu wazima eti kisa wanalipa 400/500 n.k kwa kuwa wanafunzi wanalipa 200 na wapo wengi hawawataki, sasa niwaulize wewe ukikataa kumchukua na mwingine naye akamkataa nani atakae wabeba?

Watafika shuleni/ majumbani mwao saa ngapi??? Na ni watoto bado wadogo kwasababu ni under 18 most of them.

Imagine unakuta mtoto anasoma mnazi mmoja alafu anakaa kinyerezi moja na nusu saa mbili asubuhi yupo kituoni na bado anakataliwa kuingia kwenye daladala jiulize shuleni anafika muda gani?? Je ataacha kufeli?? Na muda was kurudi nyumbani ni vilevile watoto wanafika majumbani usiku jamani acheni hiyo tabia siyo nzuri.

Fikiria angekuwa ni mwanao anakataliwa ungejisikiaje!??

Lakini daladala za Dom wamenifurahisha sana yani unaingia kwenye daladala utafikiri ni school bus kumbe ni daladala na Hamna mwanafunzi anae kataliwaa....

Tuwapende watoto kwani ndiyo taifa la keshoo leo unamkataa wa mwenzio kesho wakwako

Najua makondakta humu tupo wengi nadhani ujumbe umefika!!!
 
Kuna siku natoka mbweni - makumbusho, mvua inanyesha wanafunzi wanajaribu kiungia konda anawazuia. Watoto wa dsm wanatesrka sana katika usafiri. Unakuta mtoto anaingia kwenye gari saa tano anaenda shule hadi unajiuliza sasa hivi anakwenda kusoma nini.
 
Wanaume wa dar mnashindwaje kuwatetea wanafunzi mbele ya konda mmoja?!
 
Wanaume wa dar mnashindwaje kuwatetea wanafunzi mbele ya konda mmoja?!
Kuwatetea ni swala lingine na utayari wa konda kuwaruhusu ni jambo lingine. Mabadiliko hayaletwi kwa kupigizana kelele. Mambo mengine ni ubinadamu tu siyo mpaka tutungiane sheria kali au tukunjane mashati
 
Umemjibu vizuri mkuu ....
Lkn mbn km umekubali we ni mwanaume wa dar??
 
Umemjibu vizuri mkuu ....
Lkn mbn km umekubali we ni mwanaume wa dar??
'Mwanaume wa dar' si sehemu ya mjadala hapa. Tunajadili ni jinsi gani watoto na wadogo zetu wanawezaje kufika shule kwa wakati kwa kutumia usafiri umma. Utani ni sehemu ya maisha yetu. Hata hivyo, sass hivi naandika kutoka Dodoma.
 
[emoji15]sina cha kusema ,sasa my dear utawalamba makofi wangapi??
Scenario Kama hii nmewahi kukutana nayo...kwenye mwaka mpya nilikuwa naelekea mwanza kondakta akawa amekwazana na abiria ikabidi dreva aingilie kesi wakalga makelele sana mwishowe yule dreva akawa na stamina ndogo ikabidi atoe gari nje ya barabara kupgana na yule abiria

kwa maana amekerwa na matusi ya abiria bahati nzuri nilkaa seat za mbele wakat dreva anapaki gari kwa hasira aliruka kuja kwa yule abiria na nilkuwa na mtoto wa dada mmoja niliekuwa nmekaa nae jirani ikabd yule dada nmupe mwanae chap then nkamwambia yule dreva kuwa kondakta wako alikosea ukaingilia Kati umeshindwa kuvumilia afu unataka kupgana na abiria mwenzangu siwezi kukubali ✓ nkamsukuma nkamwambia dreva kuwa na stamina hata abiria ameumia ndio anatoa matusi.....

Huo mfano tu kuwa una kila namna ya kumsaidia unaeona yupo hatarini kupoteza haki yake..Kuna watu kila siku wapo mahakamani kutetea haki za watu na hawachoki
 
OK samahani kwa kubadili mada
'Mwanaume wa dar' si sehemu ya mjadala hapa. Tunajadili ni jinsi gani watoto na wadogo zetu wanawezaje kufika shule kwa wakati kwa kutumia usafiri umma. Utani ni sehemu ya maisha yetu. Hata hivyo, sass hivi naandika kutoka Dodoma.
 
Wengine unakuta walikuwa wamepanga labda Wakahamia sehemu nyingine.. Kwahiyo anaona nibora amwache mtoto aendelee mpk atakapojipanga amuhamishe kwahiyo ndiyo watoto wanakutana na maswahibu kama hayo
Kuna wazazi wengine nao mizunguo mtoto wa darasa la kwanza utampelekaje shule ya mbali hivyo

Waandikisheni shule za karibu
 
Ni sawa ulivyosema lakini kumwambia konda au dereva kwamba unavyofanya hivyo siyo vizuri unadhani itasaidia?? Maana ukimwambia konda wa buguruni wachanika nae anafanya yaleyale....
Mi naona tu ni mamlaka husika kuingilia kati ili kuwasaidi hawa watoto nadhani SUMATRA WAPO HUMU UJUMBE UMEFIKA
Scenario Kama hii nmewahi kukutana nayo...kwenye mwaka mpya nilikuwa naelekea mwanza kondakta akawa amekwazana na abiria ikabidi dreva aingilie kesi wakalga makelele sana mwishowe yule dreva akawa na stamina ndogo ikabidi atoe gari nje ya barabara kupgana na yule abiria kwa maana amekerwa na matusi ya abiria bahati nzuri nilkaa seat za mbele wakat dreva anapaki gari kwa hasira aliruka kuja kwa yule abiria na nilkuwa na mtoto wa dada mmoja niliekuwa nmekaa nae jirani ikabd yule dada nmupe mwanae chap then nkamwambia yule dreva kuwa kondakta wako alikosea ukaingilia Kati umeshindwa kuvumilia afu unataka kupgana na abiria mwenzangu siwezi kukubali ✓ nkamsukuma nkamwambia dreva kuwa na stamina hata abiria ameumia ndio anatoa matusi.....
Huo mfano tu kuwa una kila namna ya kumsaidia unaeona yupo hatarini kupoteza haki yake..Kuna watu kila siku wapo mahakamani kutetea haki za watu na hawachoki
 
Back
Top Bottom