Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika.
Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu.
Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako huku ukiacha vituoni makumi kwa mamia ya watu ambao hata wao poa wana haki ya kupata futari.
Udart DART Mwendokasi tunaambiwa tutapata usafiri madereva wakisha futuru.
Huu sio uungwana ni kinyume cha maadili ya KAZI NA utumishi wa umma.