KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kama ni kweli si ustaarabu hata kidogo. Ila ndugu zetu waislam mnapenda sana kudeka ikifika kipindi cha mfungo wenu.
 
Hii nchi haitakiwi itawaliwe na wazanzibari.
Mwanyi alipoingia alileta ruksa iliyoleta mambo mabaya mengi sana na Udini Udini ulianzia hapo .
Mashuleni wanafunzi wakaanza kuingiza mambo ya Udini na uniform zikatofautiana katika shule za umma.
Kidogo kidogo tukaanza kuingizwa kwenye nchi za kiislam . Madarasa zikaanza kufundisha watoto kareti na judo . Watoto wakajifunza kuwa na imani kali . Mtanzania ukapotea kabisa watu wakabaki na sisi waislam wale makafiri .
Athari ya kile kizazi ndiyo iliyoibuka awamu ya nne na kuibuka kwa harakati za igaidi kwa nguvu kubwa sana . Nyuma ya ugaidi pesa nyingi sana toka kwa mashirika yanayojifucha kwenye misaada .

Nchi za magharibi na nchi za kiarabu wote ni wanyonyaji na watu wanaoangalia maslahi yao kupitia dini .
Watu wetu hawajaelimishwa vya kutosha juu ya hujuma za nchi za nje katika kutafuta rasilimali zetu.

Watu wanawaza dini tu za kigeni na kudhani kuwa hao wageni wao ni malaika matokeo yake ni jamii moja kutendeana mabaya kuliko hata shetani.

Hali itakua mbaya zaidi kwa sababu dunia inapoelekea ni kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi . Waafrika wao wanagombea waumini wa dini za kigeni kwa kutendeana mabaya badala ya mema tena kwa kutumiwa na Mabeberu wa kiarabu na kizungu.

Bukina Faso ni nchi yenye waislam wengi sana lakini wamekataa misaada ya kujenga misikiti . Wanajua kuwa wajenzi hao hawana nia nzuri katika maisha ya waafrika zaidi ya kuwaandaa kuwa wahalifu wa ugaidi na wasio na uwezo wa kujenga nchi zao kwa kutumia rasilimali zao wenyewe. Wanabaki kugombania nafasi za kwenda Ahera palipoandaliwa na Mungu huku wakiwa wanadhulumiana yale Mungu aliyowapa bure huku duniani.
Majibu yooote mlikua mkiyasubir hapa ndio mzizi wa mtoa mada hyo kuwahi kuguturu ilikua anataka yu apate chanzo ok peleka kwenye kabiba kama hii ncgi marufuku mźnz kuea kiongoz
 
Majibu yooote mlikua mkiyasubir hapa ndio mzizi wa mtoa mada hyo kuwahi kuguturu ilikua anataka yu apate chanzo ok peleka kwenye kabiba kama hii ncgi marufuku mźnz kuea kiongoz


Katiba bora hata mchina anaweza kutawala lakini kwa hii iliyopo inahitaji mzalendo anayeweza kuweka pembeni dini yake ,asili yake ,kabila lake ,ubinafsi wake ,chama chake na asili yake .

Hii katiba kunasiku gaidi ataingia madarakani kilaini kabisa na kuanzisha timbwili la ajabu bila kufanywa kitu alimradi tu abebe kundi la machawa wake na wale mafisadi wanaoangalia maslahi yao tu.


Hii katiba inamfanya Rais 'uwa mkubwa kuliko Mungu ndio maana watu wa dini ,wasomi na taasisi zote zinawekwa miguuni kwake na hakuna anayeweza kufurukuta isipokuwa wana harakati wenye moyo wa kitume kama Ule wa manabii wa Zamani waliopigana na tawala dhalimu zilizojiinua kama miungu . Historia inaonyesha kuwa wale wote waliopigana na watawala walipata adhabu kali na wengine waliuawa vifo vibaya ili kuwatisha wengine .

Mzee Ruksa alikua Rais wa Zanzibar lakini hakuuza Nyumba za kitu chochote kule Zanzibar ili kuleta maendeleo .
Aliokua Rais wa Tanzania au Tanganyika anauza ardhi kubwa kuliko nchi ya Zanzibar kwa Wageni marafiki zake kwa mkataba unaowatesa Wamasai mpaka leo . Hata vita ya Lowasa nyuma yake loliondo ipo maana alihofiwa kuwa akishika nchi basi wale waarabu wahamie Masai Mara kule Kenya .

Suala sio kukataza mtu fulani kuwa Rais wa Tanzania bali ni kuwa na katiba inayomkataza mtu mmoja kutoka nje ya Tanganyika kuuza kila kitu kwenye ardhi ya Tanganyika bila Bunge kujadili kwa kina juu ya mkataba huo na kwa nini mtu auze kwa ndugu zake tuu tena kwa maslahi ya kifamilia zaidi .

Kama kuna Sehemu rahisi ya kuuza ilikua ni Zanzibar ambayo kimsingi ilikua ni mali ya Mfalme wa Omani .
Ilikua ni rahisi tu kumrejesha kwenye ardhi yake ya Karafuu bila tatizo maana wote ni waislamu wenzake watanufaika bila kubaguana kwa sababu ni ndugu katika imani.

Kule Zanzibar angejaribu tu kumrejesha Muarabu kwa kumpa hata ekari mia mbili za ardhi pangeibuka vurugu kubwa bila kujali vyama lakini Tanganyika ni shamba la bibi waache wakose pa kufuga na kulima watakatana mapanga .
Kama walivyopora ardhi za mapori ya akiba kule Marogoro na kupelekea wakulima na wafugaji kuingia kwenye migogoro isiyoisha kwa miaka zaidi ya 30 sasa
 
Back
Top Bottom