Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
Mtu kala chakula saa 10 usiku kashiba anakuwa anakimbilia wapi?Acha kulq nunuq usafiri hutaki ita bolt unajuq kufunga wewe mtu kafanya kazi asubuhi hadi saa 12 ijioni hajala unataka awapeleke tu hadisaana
Ukiwa umeajiriwa jua kwamba umeolewaAcha kulq nunuq usafiri hutaki ita bolt unajuq kufunga wewe mtu kafanya kazi asubuhi hadi saa 12 ijioni hajala unataka awapeleke tu hadisaana
Waliopo vituoni Hawana haki ya kufuturu?Lazma watu wale jombaaa
Eti kafunga! Yaani ni maigizo tu, hawana tofauti bongo muvi! Na 😁😁Mtu kala chakula saa 10 usiku kashiba anakuwa anakimbilia wapi?
Masikini wanateseka sanaNikimiss vurugu huwaga naenda Mwendokasi najua nitaenjoy
Kwani dereva anashuka kituo sawa na wewe??Waliopo vituoni Hawana haki ya kufuturu?
Hujajibu swali. Rejea swali kisha ulijibu ipasavyoKwani dereva anashuka kituo sawa na wewe??
Kuna mambo ya ajabu sana siku hizi, mara kifurushi Cha ramadhani, mara sharia bando kwa ufupi huu ni ujinga.
Basi hilo ni tatizo la IQ yako ndogo usilaumu watu anza kutrain ubongo wako kufikiria..Hujajibu swali. Rejea swali kisha ulijibu ipasavyo
Watafukuzwa waajiliwe wakristo watupu,maana mwezi huu wamefunga waislam tu.Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika.
Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu.
Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako huku ukiacha vituoni makumi kwa mamia ya watu ambao hata wao poa wana haki ya kupata futari.
Udart DART Mwendokasi tunaambiwa tutapata usafiri madereva wakisha futuru.
Huu sio uungwana ni kinyume cha maadili ya KAZI NA utumishi wa umma.
Very sadHii nchi haitakiwi itawaliwe na wazanzibari.
Mwanyi alipoingia alileta ruksa iliyoleta mambo mabaya mengi sana na Udini Udini ulianzia hapo .
Mashuleni wanafunzi wakaanza kuingiza mambo ya Udini na uniform zikatofautiana katika shule za umma.
Kidogo kidogo tukaanza kuingizwa kwenye nchi za kiislam . Madarasa zikaanza kufundisha watoto kareti na judo . Watoto wakajifunza kuwa na imani kali . Mtanzania ukapotea kabisa watu wakabaki na sisi waislam wale makafiri .
Athari ya kile kizazi ndiyo iliyoibuka awamu ya nne na kuibuka kwa harakati za igaidi kwa nguvu kubwa sana . Nyuma ya ugaidi pesa nyingi sana toka kwa mashirika yanayojifucha kwenye misaada .
Nchi za magharibi na nchi za kiarabu wote ni wanyonyaji na watu wanaoangalia maslahi yao kupitia dini .
Watu wetu hawajaelimishwa vya kutosha juu ya hujuma za nchi za nje katika kutafuta rasilimali zetu.
Watu wanawaza dini tu za kigeni na kudhani kuwa hao wageni wao ni malaika matokeo yake ni jamii moja kutendeana mabaya kuliko hata shetani.
Hali itakua mbaya zaidi kwa sababu dunia inapoelekea ni kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi . Waafrika wao wanagombea waumini wa dini za kigeni kwa kutendeana mabaya badala ya mema tena kwa kutumiwa na Mabeberu wa kiarabu na kizungu.
Bukina Faso ni nchi yenye waislam wengi sana lakini wamekataa misaada ya kujenga misikiti . Wanajua kuwa wajenzi hao hawana nia nzuri katika maisha ya waafrika zaidi ya kuwaandaa kuwa wahalifu wa ugaidi na wasio na uwezo wa kujenga nchi zao kwa kutumia rasilimali zao wenyewe. Wanabaki kugombania nafasi za kwenda Ahera palipoandaliwa na Mungu huku wakiwa wanadhulumiana yale Mungu aliyowapa bure huku duniani.
Kwa reply hii unaonekana umri wako bado mdogo uongozi wa mwinyi haukuukuta Yule ni kiongozi aliye leta mabadiliko makubwa sana nchini hapaHii nchi haitakiwi itawaliwe na wazanzibari.
Mwanyi alipoingia alileta ruksa iliyoleta mambo mabaya mengi sana na Udini Udini ulianzia hapo .
Mashuleni wanafunzi wakaanza kuingiza mambo ya Udini na uniform zikatofautiana katika shule za umma.
Kidogo kidogo tukaanza kuingizwa kwenye nchi za kiislam . Madarasa zikaanza kufundisha watoto kareti na judo . Watoto wakajifunza kuwa na imani kali . Mtanzania ukapotea kabisa watu wakabaki na sisi waislam wale makafiri .
Athari ya kile kizazi ndiyo iliyoibuka awamu ya nne na kuibuka kwa harakati za igaidi kwa nguvu kubwa sana . Nyuma ya ugaidi pesa nyingi sana toka kwa mashirika yanayojifucha kwenye misaada .
Nchi za magharibi na nchi za kiarabu wote ni wanyonyaji na watu wanaoangalia maslahi yao kupitia dini .
Watu wetu hawajaelimishwa vya kutosha juu ya hujuma za nchi za nje katika kutafuta rasilimali zetu.
Watu wanawaza dini tu za kigeni na kudhani kuwa hao wageni wao ni malaika matokeo yake ni jamii moja kutendeana mabaya kuliko hata shetani.
Hali itakua mbaya zaidi kwa sababu dunia inapoelekea ni kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi . Waafrika wao wanagombea waumini wa dini za kigeni kwa kutendeana mabaya badala ya mema tena kwa kutumiwa na Mabeberu wa kiarabu na kizungu.
Bukina Faso ni nchi yenye waislam wengi sana lakini wamekataa misaada ya kujenga misikiti . Wanajua kuwa wajenzi hao hawana nia nzuri katika maisha ya waafrika zaidi ya kuwaandaa kuwa wahalifu wa ugaidi na wasio na uwezo wa kujenga nchi zao kwa kutumia rasilimali zao wenyewe. Wanabaki kugombania nafasi za kwenda Ahera palipoandaliwa na Mungu huku wakiwa wanadhulumiana yale Mungu aliyowapa bure huku duniani.
Unafahamu nini kuhusu bsheria za KAZI?Watafukuzwa waajiliwe wakristo watupu