KERO Madereva wa mabasi ya mwendokasi yanapitiliza bila kubeba abiria, wanadai eti wanawahi kufuturu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
M
Kwa reply hii unaonekana umri wako bado mdogo uongozi wa mwinyi haukuukuta Yule ni kiongozi aliye leta mabadiliko makubwa sana nchini hapa

Siku nikiwa na mood nitakupa ABC 😀
Mambo ya mihadhara ya kidini yalianza awamu ya pili
 
Hii haiko sawa, ilitakiwa Udart wahakikishe kuna kuwa na flow ya magari kama kawaida.

Kwani madereva wasio waislamu si wapo.
Shift zipangwe kuzingatia hilo.
 
Kwa reply hii unaonekana umri wako bado mdogo uongozi wa mwinyi haukuukuta Yule ni kiongozi aliye leta mabadiliko makubwa sana nchini hapa

Siku nikiwa na mood nitakupa ABC 😀
Ni kweli. Mwinyi ndiyo chanzo cha Tanzania kuwa wachuuzi wa wa bidhaa za mataifa mengine. Aliifanya nchi iwe tegemezi kutoka nje kwa kila kitu.
 
Mimi siongelei udini kiufupi mwendokas ni stress mnaweza jaa pale client wengi mtu anashusha watu af anaondoka na bus jeupe kabisa mnakaa pale kusubiria bus
 
Sijaona point hapa zaid ya Chuki dhidi ya Uislam ( Islamophobia) Ule ni Usafiri wa umma, Hutoi gari ila kwa maelekezo ,ulidhan ni Daladala au Matatu kuwa unamuua tu utembeze Chuma?

Next time Book ride
 
Ni kweli. Mwinyi ndiyo chanzo cha Tanzania kuwa wachuuzi wa wa bidhaa za mataifa mengine. Aliifanya nchi iwe tegemezi kutoka nje kwa kila kitu.
Nchi imefunguka wakati huo hapo watu wakaanza kutoka nje na kutengeneza pesa matajiri walianza kuonekana wakati huo,,

enzi hzo Congo dhahabu Unaziokota barabarani, watu wakaenda nchi za jirani kuuza bidhaa kipindi hiko kilimo dili kweli kweli bidhaa ukiipeleka kenya ukirud wewe tena unaitwa Mkongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…