Ujuaji sasa na umalize chuo urudi kwenu TUKUYU..Unapoona mwendokasi inapita Korogwe, Kibo, Argentina, Kagera, Morocco Hotel, hadi Morocco, unadhani inapita mikoani hadi nje ya nchi. Poyoyo wa head wewe
wewe ndio mjinga maana hujui jinsi yakumkosoa mwanamke , unamtukana nakumdharau huna akili punguza upuuzi na madharau , kwani wanao ajiri kwanini wawape waislam full day nawanajua kuwa ikifika saa 12 lazima wakafuturu wasije kufa .Punguza ujinga. Kufunga na kutoa huduma vina uhusiano gani? Kwanini wasichukuwe likizo au wakafupisha shift ili wakati wa kufuturu wawe na muda?
Habari za kukariri kituo sio mambo kabisa 😂 😂Mwendokasi sio usafiri. Stress tu zile.
Walimu wa madrasa wana Pepo yao aisee.... Wameshakutegua mtaro wamekuacha unawashwa washwa tu kila uonapo wanaumeUjuaji sasa na umalize chuo urudi kwenu TUKUYU..
Mjini umekuja na gari la Tigo la matangazo leo born hia hia SHWAIN
Ushindwee na hiyo roho mbaya yakoMtu kala chakula saa 10 usiku kashiba anakuwa anakimbilia wapi?
Halafu Ile ni kazi ya malipo na sio kuji tolea, waki ona complications waache.Punguza ujinga. Kufunga na kutoa huduma vina uhusiano gani? Kwanini wasichukuwe likizo au wakafupisha shift ili wakati wa kufuturu wawe na muda?
Na wewe umekula saa ngapi kabla hujaingia kwenye mfungo wa qwaresma?Mtu kala chakula saa 10 usiku kashiba anakuwa anakimbilia wapi?
NILIJUA TU HUYU MTOTO SIO RIDHIKI ONA SASAWalimu wa madrasa wana Pepo yao aisee.... Wameshakutegua mtaro wamekuacha unawashwa washwa tu kila uonapo wanaume
Sababu waliyotoa haina mashiko,kuftari mtu anafuturu popote,labda waseme wanaenda kula.wanapaswa kuwa na huruma kwa wengine na pia kufunga hakumuondoi mtu katika kutimiza majukumu/wajibu wake bila sababu!Nipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika.
Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu.
Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako huku ukiacha vituoni makumi kwa mamia ya watu ambao hata wao poa wana haki ya kupata futari.
Udart DART Mwendokasi tunaambiwa tutapata usafiri madereva wakisha futuru.
Huu sio uungwana ni kinyume cha maadili ya KAZI NA utumishi wa umma.
Wafutwe kazi mambo ya serikali na dini vitenganishwe sijui mimi msabato sijui nimefunga...sijui mungu wangu ataki hivi au vile ...kama unataka Dini kazi za serikali achaneni nazoNipo kituoni Kimara Korogwe nangoja Gari ya kwenda Morocco, mabasi zaidi ya Tisa yamepita kuanzia SAA 12.06 jioni nilipofika.
Magari yanapitiliza bila kubeba abiria, tumembananisha mtoa Huduma atueleze shida ni nini? Anadai eti wanawahi kufuturu.
Hii ni funga GANI? Unataka ukafuturu peke yako huku ukiacha vituoni makumi kwa mamia ya watu ambao hata wao poa wana haki ya kupata futari.
Udart DART Mwendokasi tunaambiwa tutapata usafiri madereva wakisha futuru.
Huu sio uungwana ni kinyume cha maadili ya KAZI NA utumishi wa umma.
Nipo mkuu kwemaMbona umepotea mkuu sikuoni
Ndo nimetoka kubanwa hapa sasa nasubiri za kwenda morrocoMwendokasi hapana kwa kweli, nusu nibanwe na ile milango yao, toka siku ile sitaki tena..
Bora nitembee kwa miguu tyuuh. Aaaah
Pole mremboMwendokasi hapana kwa kweli, nusu nibanwe na ile milango yao, toka siku ile sitaki tena..
Bora nitembee kwa miguu tyuuh. Aaaah
Huyobsio mrembo, ni Kaka mremboPole mrembo
Mungu kakuumba ukiwa mwanadamu, inakuwaje unakataa Asili ya uanafamu aliyokuumba nayo Mungu mwenye enzi yote na kuanza kujiita mdudu?NILIJUA TU HUYU MTOTO SIO RIDHIKI ONA SASA