Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

πŸ˜‹πŸ˜‹, Vijana wa siku hizi tumekuwa walaini sana, Maana ni mwendo wa kushindia chips mchana, chips usiku, nguvu zitatoka wapi?
 
Ni vyema wakajitengenezea vyakula nyumban wabebe!
 
Afadhali hapo huduma ya choo bure. Serikali yenyewe imeshindwa hata kujenga choo kimoja cha abiria barabarani nchi mzima.
Kwa idadi ya mabasi unadhani ni mji gani unaweza kuwahudumia abiria mia 5 kwa wakati mmoja?
Dereva analipwa pesa na wafanyabishara wa ile migahawa na anapata take away moja free. Wewe ungekuwa dereva usingesimama?
Dawa ni kurudi kwenye serikali ya ujamaa serikali itoe huduma.
 
Sijawahigi nunua chakula wanapaita Al jazeera,

Na sitowahi[emoji419]
 


Kwa idadi ya mabasi unadhani ni mji gani unaweza kuwahudumia abiria mia 5 kwa wakati mmoja?
Abiria wanapita trip tofauti tofauti, kwa hiyo huduma haiwezi kuwa kwenye mkoa mmoja, kwani hukumbuki Kipindi cha Miaka ya nyuma Abiria walikuwa wanakula stend.?


Dereva analipwa pesa na wafanyabishara wa ile migahawa na anapata take away moja free. Wewe ungekuwa dereva usingesimama?
Kupewa posho na takeaway moja free, hicho ni kitu kidogo sana, mfanya biashara yeyote yule kama utampelekea wateja kwa namna yeyote ile, lazima atakukumbuka tu kwenye fungu.

Dawa ni kurudi kwenye serikali ya ujamaa serikali itoe huduma.
Hapa umeongea point mkuu,
 
...Kwa Nini isije ? Mbona Kila Mtu kapands na begi lake ? Kwa Nini isiwezekane Kila Mtu apande na hotpot lake ??? [emoji846][emoji846]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Siyo wote wanaoweza kubeba hotpot, pia baadhi ya abiria wana root ndefu, hivyo uboreshwaji wa huduma unahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…