KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hapa terminal ya Kivukoni Bus iktoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
Kwani yana-operate bila ratiba? Siyo kwamba wana timetable ya kufuata, eg muda wa kuondoka na kufika kila kituo? Nauliza kwa sababu sijui utaratibu wao
 
Nadhani huwa wanapaki kupoza injini kidogo.

Toka lini gari yenye injini nyuma ukaiweka mazingira yenye joto kama dar halafu utegemee ikafanya kazi kwa ufanisi???

Tena yanabeba mzigo kupita kiwango, maana kiwango cha kawaida ni level seat lakini watu wanajazana mwendokasi hata nafasi ya kugeuka hakuna.
 
Sijui mradi gani wa serikali utaendelea..
Ule mradi hata mimi wa "RA SABA D" nauendesha kwa mafanikio makubwa sana..
Una njia una abiria, nyenzo zote sasa iweje mrafi ufe kama sio usenge..
Utashangaa na SGR inakufa ndio ujue nchi hii ina mambo ya kiKHANITHI
 
Kwani yana-operate bila ratiba? Siyo kwamba wana timetable ya kufuata, eg muda wa kuondoka na kufika kila kituo? Nauliza kwa sababu sijui utaratibu wao
Huko nchi za watu wana operate kwa namna hiyo wanakuwa na timetable kila baada ya dakika fulani ndio basi linaondoka,

Haijalishi abiria wapo au hawapo. Na bei nazo zinakuwa na utofauti kidogo.

Mfano wakati wa asubuhi ni wakati kila mmoja anaenda iwe ni shuleni au kazi au sehemu yeyote kwaiyo ni busy hour na baada ya hapo utaona watu wanapunguza safari zao na bei pia inapungua na basi pia muda wakutoka kituo kimoja au kingine unaongezeka maana hakuna tena watu wakuweza kulijaza basi maana wengi wao wako katika sehemu za kujenga uchumi tayari
 
Huko daslamu ndivo mnavyoishi ? Acheni uvivu kwani kimara na kivukoni km ngapi ? Hamuwezi kutembea?

Mimi huku nankurukungu natembea 30km (kwenda na kurudi) kwenda kuchunga na kuwinda kila siku !!!

Ngoja nikapate kopo la mtindi na mihogo kwanza
Wawindaji kama wewe huko Kenya kila siku wanaenda ulaya, marekani, japan kuvuna madola kwenye marathon wakati wewe unajisifu kukakamaa miguu.
 
Mwendokasi sio kampuni ya kuendeshwa na watu binafsi, ile ni huduma lakini wanavuta muda ili abiria wajae.
 
Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni

Nafikiri ILI uonekane una hoja yenye mashiko, ungeuliza kwa nini wana park kwa takribani 10 to 20mins ili upewe majibu. Yaweza kuwa kuna sababu za msingi za kusubiri Engine ipoe kidogo nk nk
 
Kwanza tuambie unapanda mwendokasi kwenda wapi? Maana dakika 10 ndogo
 
Mwendokasi nao usafiri?? Mxxxiiiieeew
Sitaki hata kuziona hizo bus zao. Pumbavuuu.

Zamani nikisoma ningesema, Mwendokasi bado ni usafiri unaosaiodia sana raia ILA wewe umeshapita hiyo stage
utakuwa kwenye stage ya social need kuelekea self actualization...ambapo hutegemei tena public buses....japo unaweza kuutumia mara moja moja
 
Wawindaji kama wewe huko Kenya kila siku wanaenda ulaya, marekani, japan kuvuna madola kwenye marathon wakati wewe unajisifu kukakamaa miguu.
, Yes kwa utembeaji huu lazima miguu ikakamae, huko daslam mnakula chips na urojo kwa mpemba mnalegea, wanawake wenu wakija huku Bush tunawasaidia kuwapelekea moto !!!!! Nachoma digidigi hapa karibu 🍖

 
Back
Top Bottom