gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Level seat na kuna handles kibao!?Nadhani huwa wanapaki kupoza injini kidogo.
Toka lini gari yenye injini nyuma ukaiweka mazingira yenye joto kama dar halafu utegemee ikafanya kazi kwa ufanisi???
Tena yanabeba mzigo kupita kiwango, maana kiwango cha kawaida ni level seat lakini watu wanajazana mwendokasi hata nafasi ya kugeuka hakuna.