KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Level seat na kuna handles kibao!?
 
Zamani nikisoma ningesema, Mwendokasi bado ni usafiri unaosaiodia sana raia ILA wewe umeshapita hiyo stage
utakuwa kwenye stage ya social need kuelekea self actualization...ambapo hutegemei tena public buses....japo unaweza kuutumia mara moja moja
Ni vile nina historia mbaya na hizo bus za mwendokasi, wala sizibezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…