Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,093
Mtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani.

Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako haina speed Achaneni Nayo. Mimi Nakimbia Traffic Mtu kaniungia balaa Mpaka tumefikishana Mbali[emoji3][emoji3]

SalamAleikum...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

A peaceful Reminder tu Jaman msirushe Ngumi.
 
Haaaaahaaa hasa wa IST wamekuwa na fujo sana barabarani siku hizi, sijui shida ni nini. Anyway ujumbe ni mzuri
 
Hawa watu wanasumbua sana road madereva wa subaru, crown, alteza, bmw sedan yani wanapenda sana kuovertake na kuendesha kwa fujo.

Kuna gari ukiendesha automatically unakua na akili kama za bodaboda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sjui ligi za nini...anataka asimulie baadae kwamba kuna jamaa kajichanganya kunipita na ki gari chake nikamfukuzia nikampita
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sjui ligi za nini...anataka asimulie baadae kwamba kuna jamaa kajichanganya kunipita na ki gari chake nikamfukuzia nikampita

Angalia hzo gari ukichunguza utaona zina dents kibao au imepakwa rangi. Leo subaru tule tuimpreza dyz nais hata siku2 haina imefumuliwa mbele haifai kisa anaovertake [emoji119]
 
Mie sina hizo gari hapo ila gari yangu huwa siendeshi kama convoy ya harusi na nachukia ukae mbele yangu uendeshe kama soccer mom!

Nikipata upenyo lazma nikuchane kwa ukali tu.
Hapo unakuwa sahihi, lakini tunaongelea mtu ambaye kila anayempita anahisi anashindana nae....mtu anakufukuza kumbe wewe unawahi airport au una dharula ya mgonjwa...ila yeye anahisi kadharauliwa
 
Back
Top Bottom