Hahaa Mkuu hao jamaa huwa hawataki uwapite, ukimpita tu anakuungia ili aje akupite, kumpita maana yake anaona umemdharau, kumbe kila mtu na ratiba zake[emoji3]Mkuu ulipakiwa kwenye coaster au gari binafsi.....[emoji23][emoji23]
Huyo dereva alifanya kosa gani?
Haaaaahaaa hasa wa IST wamekuwa na fujo sana barabarani siku hizi, sijui shida ni nini. Anyway ujumbe ni mzuriMtu aki kuovertake, ame kuovertake kwa haraka zake, Hajakudharau, Hajaovertake safari Yako ni Gari Yako Ndio Kaipita, Punguzeni Ligi barabarani.
Dhana kwamba Mtu akikupita Amekuzidi, au gari yako haina speed Achaneni Nayo. Mimi Nakimbia Traffic Mtu kaniungia balaa Mpaka tumefikishana Mbali[emoji3][emoji3]
SalamAleikum...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
A peaceful Reminder tu Jaman msirushe Ngumi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sjui ligi za nini...anataka asimulie baadae kwamba kuna jamaa kajichanganya kunipita na ki gari chake nikamfukuzia nikampitaHawa watu wanasumbua sana road madereva wa subaru, crown, alteza, bmw sedan yani wanapenda sana kuovertake na kuendesha kwa fujo.
Kuna gari ukiendesha automatically unakua na akili kama za bodaboda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sjui ligi za nini...anataka asimulie baadae kwamba kuna jamaa kajichanganya kunipita na ki gari chake nikamfukuzia nikampita
Mkuu minaona nikublock tu, maana kwa hii comment umemtukana hadi waifu...🤨Hawa watu wanasumbua sana road madereva wa subaru, crown, alteza, bmw sedan yani wanapenda sana kuovertake na kuendesha kwa fujo.
Kuna gari ukiendesha automatically unakua na akili kama za bodaboda
Bodaboda ni janga!Hawa watu wanasumbua sana road madereva wa subaru, crown, alteza, bmw sedan yani wanapenda sana kuovertake na kuendesha kwa fujo.
Kuna gari ukiendesha automatically unakua na akili kama za bodaboda
Waambie haoMie sina hizo gari hapo ila gari yangu huwa siendeshi kama convoy ya harusi na nachukia ukae mbele yangu uendeshe kama soccer mom!
Nikipata upenyo lazma nikuchane kwa ukali tu.
Unakuta mwanaume anaendesha gari kama mtoto wa kike breki za kiboya boya kila mahali yani!Waambie hao
Hapo unakuwa sahihi, lakini tunaongelea mtu ambaye kila anayempita anahisi anashindana nae....mtu anakufukuza kumbe wewe unawahi airport au una dharula ya mgonjwa...ila yeye anahisi kadharauliwaMie sina hizo gari hapo ila gari yangu huwa siendeshi kama convoy ya harusi na nachukia ukae mbele yangu uendeshe kama soccer mom!
Nikipata upenyo lazma nikuchane kwa ukali tu.
Waifu naye ana vurugu Mkuu?[emoji3]