Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forester au wrxHakuna mtu anataka kufa ila kweli, ukiketi penye kiti cha dereva kwenye subaru, kuna raha yake. Uwe umetoka kwenye magari mengine halafu uendeshe subaru. Halafu uwe mefunga vioo huku uwe umekamata high way. 160 inakuhusu baada tu ya km 5 za take off. Naipenda subaru. Ile gari, breki yake waliisomea.
Safi sana. Kwahio na wale wa subaru waache wamiliki hizo ?Nishamiliki pijo,vw,bmw,volvo,alfa romeo the list goes on....
ok nafikiri wanazichezea hawajui ,wa ku consult haraka iwezekanavyoHapana ila Sub generation ya GDI,GDA,GC8, zipo nyingi sana kwenye hiyo kizazi ndo zinafaa forester cyo mzuri kwa rally
thats obvious......Kwa pesa zetu za hapa na pale wacha tuanze na subaru legacy ila isikuaminishe kwamba ni best kuliko nyingine kuna mashine nyingi sana za barabarani hazifai hata kidogo ila madafu ndo tatizo
Wewe unajua kiswahili?!! Kuna mahali nimekataza au kumsema mtu kwasababu ya kumiliki subaru. Hii thread nimeanzisha kuwaambia wale waendeshao subaru kama wendawazimu waache kwasababu barabarani kuna watumiaji wengi. Wakafanye huo uwendawazimu wao kwenye rally sio kwenye public roads. Uwe unamiliki subaru,benz au vitz kuendesha kama mwendawazimu si ustaarabu.Safi sana. Kwahio na wale wa subaru waache wamiliki hizo ?
RRondo kwanza Hizo subaru hazisogei kwenye Bmw 318M Sport laiti wangejua kuna nini kwenye gari za mjerumani.. wangechuna tu na hizo 180kphWewe unajua kiswahili?!! Kuna mahali nimekataza au kumsema mtu kwasababu ya kumiliki subaru. Hii thread nimeanzisha kuwaambia wale waendeshao subaru kama wendawazimu waache kwasababu barabarani kuna watumiaji wengi. Wakafanye huo uwendawazimu wao kwenye rally sio kwenye public roads. Uwe unamiliki subaru,benz au vitz kuendesha kama mwendawazimu si ustaarabu.
Hahah, thought una hata rav4 man! Ila hata toyo unaweza kufanyia mapping, maana hadi baadhi ya bajaji wamafanyia mapping siku hiziMi nna toyo tu man bado sjakamata io mashine [emoji4] [emoji4]
Wewe unajua kiswahili?!! Kuna mahali nimekataza au kumsema mtu kwasababu ya kumiliki subaru. Hii thread nimeanzisha kuwaambia wale waendeshao subaru kama wendawazimu waache kwasababu barabarani kuna watumiaji wengi. Wakafanye huo uwendawazimu wao kwenye rally sio kwenye public roads. Uwe unamiliki subaru,benz au vitz kuendesha kama mwendawazimu si ustaarabu.
Inaweza kuwekwa katika gari ndogo tofauti na hizo?Inaitwa turn back valve kitu muhimu sana kile
Forester au wrx
Bmw umeenda mbali sana mkuu...VW Golf 4 inatosha.RRondo kwanza Hizo subaru hazisogei kwenye Bmw 318M Sport laiti wangejua kuna nini kwenye gari za mjerumani.. wangechuna tu na hizo 180kph
Zipo gari nyingi tu zenye zaid ya 180kph...karibia zote za kijeruman mf. Benz, Bmw, Vw et.verosa nilikuwa czpend lkn pind nikiwa cngda nilikuwa matembezin by ngoko ndipo nilipockia mlio mkubwa kama ndege jet c jet nadhan ni tair zilivykuwa zmeshka lami , mbele yangu kulikuwa na wamama na hao walismama kuangalia ni gar gan inakuja , ebu fikiria wamama/wasichna hawana hobby na magr lkn walismama kuangalia kwa spid iliokuwa nayo ilikuwa stable xna jinsi ilivy lala na kona mpaka imenifikia ndo nkajua ni verosa kwa bahat nzur alivynpita nkaona taa nyekundu zkwaka means kashka brake ndo nkahama na upande ili nimuulze jamaa maswal .nikamuulza kabla ya kale kakona ulikuwa na spid ngap akajib 190 huku akiendelea kuchek tair zake,jamaa alikuwa na lafudh ya kicongo kuchek gar ndo nkaona imeandikwa vr25 na hata plate no hazkuwa za huku kwanzia hapo nkaikubal xna ckuwah ona gar ikiwa na zaid ya 180 zaid ya hyo verosa
Hata Toyota Avensis ya Ulaya inaenda 240kphZipo gari nyingi tu zenye zaid ya 180kph...karibia zote za kijeruman mf. Benz, Bmw, Vw et.
Hata Rav4 zipo 220kph..Nissan na hata baadhi ya Subaru nyingine zinasoma 260kph.
very wiseNimepita hio stage....nikitaja gari nilizoendesha hapa hutaongea kauli kama hii.....naongelea usalama, kuweni responsible jalini usalama wa wenzenu kama hamjali wa kwenu.