Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Forester au wrx
 
Hapana ila Sub generation ya GDI,GDA,GC8, zipo nyingi sana kwenye hiyo kizazi ndo zinafaa forester cyo mzuri kwa rally
ok nafikiri wanazichezea hawajui ,wa ku consult haraka iwezekanavyo
 
Kwa pesa zetu za hapa na pale wacha tuanze na subaru legacy ila isikuaminishe kwamba ni best kuliko nyingine kuna mashine nyingi sana za barabarani hazifai hata kidogo ila madafu ndo tatizo
thats obvious......
 
Safi sana. Kwahio na wale wa subaru waache wamiliki hizo ?
Wewe unajua kiswahili?!! Kuna mahali nimekataza au kumsema mtu kwasababu ya kumiliki subaru. Hii thread nimeanzisha kuwaambia wale waendeshao subaru kama wendawazimu waache kwasababu barabarani kuna watumiaji wengi. Wakafanye huo uwendawazimu wao kwenye rally sio kwenye public roads. Uwe unamiliki subaru,benz au vitz kuendesha kama mwendawazimu si ustaarabu.
 
RRondo kwanza Hizo subaru hazisogei kwenye Bmw 318M Sport laiti wangejua kuna nini kwenye gari za mjerumani.. wangechuna tu na hizo 180kph
 
gar za nch ipi unahis zko on top kwa spid zilizo na injin kat ya 2L had 2.5L
 


kukunukuu vibaya hakuna uhusiano na mimi kujuwa kiswahili . Ila nilitaka kujiridhisha kama ulimaanisha hivo. Kistaarabu tu
 
Zipo gari nyingi tu zenye zaid ya 180kph...karibia zote za kijeruman mf. Benz, Bmw, Vw et.
Hata Rav4 zipo 220kph..Nissan na hata baadhi ya Subaru nyingine zinasoma 260kph.
 
Zipo gari nyingi tu zenye zaid ya 180kph...karibia zote za kijeruman mf. Benz, Bmw, Vw et.
Hata Rav4 zipo 220kph..Nissan na hata baadhi ya Subaru nyingine zinasoma 260kph.
Hata Toyota Avensis ya Ulaya inaenda 240kph
 
Ila kweli nilikutana na subaru moja hivi njia ya msata bagamoyo, karibia na daraja la ruvu lile la muda.... ilikuwa ni shida utafikiri tuko kwenye mashindano.... alikuwa rafu sana.... nikamwasha apite ila tulivyofika huku bagamoyo kama unakuja dar,nikamkuta amekamatwa na traffic polisi kwasababu ya mwendo wake m-bovu... alikuwa kijana hivi..... ni shida aisee.... na ule mngurumo wake daaa... tabu tupu
 
kuna video ya subaru na benz moja hv walikuwa wanakimbizana , waliokuwa wanachukua video walikuwa kweny benz cjui kama kuna mtu kaiona huku
 
Nimepita hio stage....nikitaja gari nilizoendesha hapa hutaongea kauli kama hii.....naongelea usalama, kuweni responsible jalini usalama wa wenzenu kama hamjali wa kwenu.
very wise
 
Roho inauma na karaumu kakoe? Utajibeba, sio sisi ni Mjapani man, tutaheshimiana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…