Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Subaru ni gari maarufu sana hasa kwwnye mashindano ya magari ya East Africa safari rally,kuna Subaru imprezzer iliwahi kutia fora sana na hua zinashiriki mashindano mengi ya magari na labda zimeboreshwa sana ndiyo hata mtu akiwa nayo mtaani anaiendesha kama vile yupo kwenye mashindano ya magari.

Ndio ujinga ninaouponda hapa!
 
RRONDO sio bongo tu hata huku nilipo mambo ni yale yale tatizo la hizi gari zina mzuka mbaya sana hasa kwenye wepesi wa spidi (take over) ulaini wa steering na brake za kunasa
I've pushed quicker,faster and powerful beasts than that thing and i've been responsible....i know where to put my foot down and where to take it easy
 
Kaka hapa unaponda maji kwenye kinu hatakuelewa hata mmoja japo ujumbe wako ni mzuri sana
Tembelea hata viwanja vya matanuzi yani mtu akiingia na impreza unaona kabisa mabinti na vijana wanapata mzuka
Taratibu wataelewa somo tu.
 
I've pushed quicker,faster and powerful beasts than that thing and i've been responsible....i know where to put my foot down and where to take it easy
Huku wengi wanachojua ni kanyaga twende the rest is not their business
 
Huku wengi wanachojua ni kanyaga twende the rest is not their business
Unajua hawa madogo hawajawahi kutembelea MOI kule MNH....kwahio hawajui madhara ya ajali ngoja mmoja wao subaru imvunje mgongo atakumbuka hii thread! Tushawazika wengi tu, na wamesababisha vifo vingi tu kwa ukubwajinga wao.
 
Mwaisela ndio kiboko
 
Back
Top Bottom