Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Hahaha hiyo inanikumbusha Baja 250 wakati ule zimeingia ,ni kama unakua na mdudu fulani anakuwasha hivi ,unavyokanyaga ndio inavyotaka zaidi
Wayback 2000 nilikuwa na kawasaki 250 ilikuwa siku ya meimosi nikamuovatake traffic pale sealander na yale makubwa ya polisi akaja kunikamatia cocobeach wee acha tu
 
Nilipokuwa natumia subaru kuna jamaa yangu alinishutumu kuwa sijui kuitumia, sikumjibu kitu. Niliwaza tu kwa barabara zipi!! na nikajua yeye hajawai hata kupiga honi ya subaru maana kwa uchumi tuliokuwa nao kipindi kile angekuwa hata na idea ya wese la subaru ukiiletea sifa...

Kwa hiyo hata hawa wanaotusumbua mijini wengi wao ndio uwezo wao wa wese huo, ukimpeleka highway haendeshi hata 100km na kurudi
 
Tena uku arusha kuna kitu znafungwa ukiwa speed ukishika brake znacheua kama gesi ivi sjui inaitwaje apo machalii wanapenda sana....
Wazimu wa ujanani majukumu yakishashika hatamu kila kitu kina cool down
 
hivi subaru legacy mpya sh ngapi?

spare zake vipi?
 
Ongeza na hawa wanaondesha Altezza na Glanza ni kama wana kitu kinawawasha hivi Hawa jamaa wanamatatizo sana
Kama ni racing kafanyeni huko migombani
 
Tena uku arusha kuna kitu znafungwa ukiwa speed ukishika brake znacheua kama gesi ivi sjui inaitwaje apo machalii wanapenda sana....

Arusha wajanja wengi hufanyia subaru zao mapping
Hapo zinafungwa BOV, bimbo brakes etc
 
Back
Top Bottom