Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wrx sti mkuu tamu hiii six gear manual turbo,BOV,TBV unapata pure boxer engine soundyeah...Sema apo town forester ndo mingi
Na ndio maana nawaambia waache ujinga.Nilipokuwa natumia subaru kuna jamaa yangu alinishutumu kuwa sijui kuitumia, sikumjibu kitu. Niliwaza tu kwa barabara zipi!! na nikajua yeye hajawai hata kupiga honi ya subaru maana kwa uchumi tuliokuwa nao kipindi kile angekuwa hata na idea ya wese la subaru ukiiletea sifa...
Kwa hiyo hata hawa wanaotusumbua mijini wengi wao ndio uwezo wao wa wese huo, ukimpeleka highway haendeshi hata 100km na kurudi
Ha ha ha; hamasa ya kukamua zaidi kama pikipiki (bodaboda) vile.Muundo wa injini ya magari haya nitofauti na magari mengine kwa hiyo inazifanya ziwe zinatoa sauti ambayo mtu kama sio makini inakupa hamasa ya kuikamua zaidi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mentality hii ndio inaendesha powerful car! Disaster.
Zimakuwa mbili BOV na TBV kila moja ina kazi yake moja na cyo kila engine waweza kufungaBOV-Blow Off Valve.
Subaru na Altezza ni gari za ma teenagers..but let them enjoy ina utamu wakeGrown man's car....sasa wengine over thirty bado wanaungurumisha subaru vichochoroni.
Madereva wa Subaru Forester na Impreza,Altezza, Cellica na boda boda wote ni akili moja kama wamezaliwa familia moja.
Akili za madereva ndio zinafanana sio hvyo vyomboHebu usifananishe Subaru na vitu vya kijinga kama boda boda
RRONDO sio bongo tu hata huku nilipo mambo ni yale yale tatizo la hizi gari zina mzuka mbaya sana hasa kwenye wepesi wa spidi (take over) ulaini wa steering na brake za kunasa
Hahhahahaaaa mvumbuzi hana kosa ni sawa na kumlaumu mvumbuzi wa munde kwa mlevi aliyejikojolea barKwanza tuzitibu jipu kwa kulitumbua tu ni lazima tujue kiini cha jipu husika...mimi nadhani tukitaka kujadili Subaru tuwajadili kwanza wavumbuzi wake! Sijui walilelewaje hawa jamaa maana kwanza gari yenyewe ina sauti kuuuubwa kuzidi hata umbo lake achilia mbali fujo zake bara barani! Mwenye CV ya kijana mgunduzi wa Subaru ailete hapa tumpigie kura ya kutokuwa na imani naye!
Hahhahahaaaa mvumbuzi hana kosa ni sawa na kumlaumu mvumbuzi wa munde kwa mlevi aliyejikojolea bar
Wewe utabaki kuwa ndugu yangu siku moja barabara ya bagamoyo msata ukishapita kiwangwa nikakutana na tochi ya kimagumashiNdugu yangu mshana jr japo undugu wetu hauna fungamano na masuala yetu yaleeee ya mazombie ila kuna kitu ambacho naona sisi wapenda mbio tunaonewa....inawezekanaje gari Speedometer inatakiwa 210KM/H upigwe tochi kwa kutembea 54km/h? Kwanini wasizuie magari bandarini wangoe huo mwendokasi waweke wao wa 50km/h ili tupunguze kushikana mashati na hizo tochi wakapimie mwendokasi wa mawimbi baharini?