Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Unachoongea hakipo PRONDO, ni wivu tu! Kama na wewe una SUBARU unataka kojoini chama chetu, njoo inbox. Ni kwa Dsm tu
Haya mkuu, ngoja nijaribu kupunguza wivu. SMH
 
Verosa haiwezi izidi Forester Sti
Labda anae endesha hana hela ya mafuta na pia hana uwezo wa kufanya repair au gari si yake
Ila mtu mwenye hela na gari lake huwezi ishinda hiyo gari
Labda awe mwoga
Haijui sti with turbo hp 240 na ki verosa chake kama kina fika hp 150
 
Forester ni gari ya Rally? SMH
fozzy rally.jpg
 
Jibu lako mwanzo ni dhahiri ulifikiri ni verossa ya kawaida.
Subaru ni mzuri kwenye handle tofauti na verosa na hii ni kutokana na mfumo wa engine ,kuna sehemu unaweza pita na subi ikiwa 180 or 200 verosa lazima ulegeze mguu apo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.

Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.

Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.

Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.

Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque

Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
umenena mkuuu pesa ndo tatizo...huyu hapa ni mmoja wao
1462197085375.jpg
 
Benz GLE 450 ni habari tofauti ikiwa barabarani na ikakutana na kijana anaetaka sifa kama za subaru...usijaribu kuisogelea maana utapoteza muda wako tu
 
Chuma hicho kaka
Kwa pesa zetu za hapa na pale wacha tuanze na subaru legacy ila isikuaminishe kwamba ni best kuliko nyingine kuna mashine nyingi sana za barabarani hazifai hata kidogo ila madafu ndo tatizo
 
Kwa pesa zetu za hapa na pale wacha tuanze na subaru legacy ila isikuaminishe kwamba ni best kuliko nyingine kuna mashine nyingi sana za barabarani hazifai hata kidogo ila madafu ndo tatizo
Kuna vitu road uko kama Chevlon Camaro
 
Kuna gari ukiendesha tu unakuwa na akili...ushaona wapi Mercedes S class inafurumushwa hovyo?!
S class umeenda mbali mkuu...c class tu inatosha ukutane na c clss 200 kompressor engine 271 husogei
1462198144740.jpg
 
Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.

Chifu, balaa lipo kwa E63, CL65 na S65...ngoja tutafute pesa aisee...hayo ndiyo magari ya kuendesha mwanamume.
Hii ni E63....

Hapa E63 ikishindanishwa na M5...

CL65 nayo ni balaa..

Ila mnyama ni S65, baba hii gari ni noma...ni luxurious supercar...

Hapa S65 ikishindanishwa na Mulsanne

Tutafuteni pesa wazee...
 
Pesa ndo kila kitu mkuu unakuwa kwenye foleni na dude kama hilo madereva wa daladala wote watakaa mbali na ww
 
Chifu, balaa lipo kwa E63, CL65 na S65...ngoja tutafute pesa aisee...hayo ndiyo magari ya kuendesha mwanamume.
Hii ni E63....

Hapa E63 ikishindanishwa na M5...

CL65 nayo ni balaa..

Ila mnyama ni S65, baba hii gari ni noma...ni luxurious supercar...

Hapa S65 ikishindanishwa na Mulsanne

Tutafuteni pesa wazee...

Jamani hawa vijana sikutaka kuwaingiza kwenye ligi hizo, nilikuwa nawaonya tu kuwa wanayoyafanya wawe sensible ila kwa akili zao wanaona nina wivu kwa sababu sijaendesha subaru kumbe hawajui watu wameendesha madude ya kutisha zaidi ya subaru.
 
Subaru ni mzuri kwenye handle tofauti na verosa na hii ni kutokana na mfumo wa engine ,kuna sehemu unaweza pita na subi ikiwa 180 or 200 verosa lazima ulegeze mguu apo
Wewe umekariri. hio vesrossa sio kama ulizozoea kuna mitaani, usifikiri wataipa 280bhp then waache suspension na control arm za verossa ya kawaida, lazima warekebishe handling. Unafikiri zile vw polo zinazoitoa kamasi imprezza ni kama hizi zenu za befoward?!!
 
Back
Top Bottom