#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani
Nendeni mkatoe maiti kwanza huko Dsm,kuna mtu toka jana kafia barabarani na hakuna mtu anadiriki kumsogelea!Maiti imekaa zaidi ya 24 hrs mpaka sasa!
 
Huo uzushi wa Chadema tumeuzoea
Nendeni mkatoe maiti kwanza huko Dsm,kuna mtu toka jana kafia barabarani na hakuna mtu anadiriki kumsogelea!Maiti imekaa zaidi ya 24 hrs mpaka sasa!
 
Watu wameona? Hizi Ndio akili za Chadema

Kwani ni mara ya kwanza mtu kufa nje na watu wakakimbia ? Hujui wanakwepa jinai hapo!
Uliza humu jamvini kuna watu wameona Clouds 360 asubuhi ya leo!Acha ujinga!
 
Niliwaambia corona ni ugonjwa wa kawaida tu

Km mtu anaendesha IT hadi uganda na haumwi haumwi chochote sidhani km kuna haja ya kujifungia ndani

Ungekua ni ugonjwa wa kawaida tu, wewe na rafiki yako Pombe Yetu mngelikimbia Jiji na kwenda kujificha Kijijini?
 
Ugonjwa wa korona una incubation period ya siku 14, kwa hiyo unaweza kusafiri wiki nzima bila dalili zozote, hatari ya hu ungonjwa iko kwenye kusambaa, sio kuua rate ya kuua iko 5% tu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wizara ya Afya Uganda imesema Watanzania wengine wanne (Madereva wa Malori) wamebainika kuwa na virusi vya corona nchini humo na kufanya visa vya corona Uganda kufikia 79, Madereva hao walioingia Uganda kupitia mpaka wa Mutukula ni kati ya ya Watu 1989 waliopimwa jana Uganda.

“Tumewapima Watu 1989 ambapo Madereva wa Malori ni 1578 na kati yao Watanzania wanne wamebainika kuwa na corona, wengine 411 tuliowapima sio Madereva na wote ni wazima”-WIZARA YA AFYA UGANDA

madereva from Tanzania????????????????????????????????????????????????????
 
inakuwaje huku kwetu hawaonekani na maambukizi ila wakifika nje ya mipaka vinaonekana...??????????
 
Madereva wa malori ya masafa marefu sasa hivi watakua wanaendesha kwa raha mustarehe,maana ma-traffic watakua wanaogopa kuwasimamisha njiani sababu wanajua wajomba wako wana-supply covid hawachelewi kuwagawia na hao jamaa wa barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…