#COVID19 Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

Muda si mrefu majirani zetu wataanza kutuita Bio-weapons
 
Kwa kua hatuna maambukzi ya ndani haina shida.


#Jiwe effect
 
Idadi ya watanzania wanaokutwa na corona nchini Uganda imefikia Sita baada ya madereva wengine wanne kukutwa na ugonjwa huo mpakani mwatanzania na Uganda eneo la mutukula

BBC
Kukumweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madereva wa malori ya masafa marefu sasa hivi watakua wanaendesha kwa raha mustarehe,maana ma-traffic watakua wanaogopa kuwasimamisha njiani sababu wanajua wajomba wako wana-supply covid hawachelewi kuwagawia na hao jamaa wa barabarani.
Na matrafiki wanavyopenda hongo kutoka kwa madereva wa malori, lazima baadhi yao watakuwa sasa wanatembea na virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Hawa madereva mbona wako care less Sana? Ukimwi nao Hawa Hawa ndo waliueneza, hivi hawafikiliagi family zao?
 
Kwa hapa Tanzania, hatuji kuendelea ngo'ooooo kwasababu ya Siasa.

Mambo mengi yameharibika mnooo kwa mfano shule moja hapa ya Secondary ilikuwa na wanafunzi balaaa lakini yalipoingizwa mambo ya Siasa, huyu wa CCM ndiyo anafaa, yule wa Chadema hafai kufundisha.

Uliza sasa hivi wamebakiwa na majengo na viwanafunzi sijui viko mia mbili wakati nakumbuka wakati hazijaingia Siasa shuleni hapo wanafunzi kidato tu cha kwanza karibia Mia sita bado vidato vingine wakitoka shule kijiji kizima kinamezwa na wanafunzi walivyo wengi mtaani ______________

Na kwa nini sehemu nyingi hasa miji au majiji yalienda upinzani hasa zenye maendeleo (Mbeya mjini, Arusha mjini, Dar Esta salaam,)

Kuna kitu kimejificha hapa ________________

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mjinga Kama walivyo waafrika wengi, dawa, chanzo karibia zote zinatoka kwa wazungu huo mkakati wa kuuwa waafrika wangekua nao wangeshautekeleza mda sana, achana na stori za vijiweni
 
Wewe
Wewe unaaminije kama hawajasingiziwa, yaani ni uganda tu ndo watanzania madeleva wanaenda? Mbona kungine hatusikii madeleva wakikutwa na corona?.
 
Watu wameona? Hizi Ndio akili za Chadema

Kwani ni mara ya kwanza mtu kufa nje na watu wakakimbia ? Hujui wanakwepa jinai hapo!
Jinao mtu kafa kwa Corona?Za kuambiwa changanya na zako!Chukua hatua na jilinde wewe na familia yako dhidi ya Corona!
 
Come on, you are better than that; ugonjwa unaambukiza, hatujachukua hatua za kupunguza maambukizi kupitia social distancing, kila kitu kinaendelea kama kawaida ni vipi unashangaa kuwepo kwa maambukizi mengi.

Hebu tuache mawazo ya kishirikina jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MKuu kw akaili yako kabisa unamini tumeletewa gonjw ahili makusudi kupitia mask na dawa za kupuliza.
 
Njia nzima katoa leseni na documents zingine kwa matrafiki barabarani zenye virusi vya Covid 19, wao pia wanapeleka kwa madereva wengine na nyumbani kwao, the chain continues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…