Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Kwa niaba ya wanawake wa kinyaki wa kwenye uzi huu; na sisi tunakupenda kinomanoma
 
Thinking



Imeuwa mzee
Ufuate ushauri sio unajibu kijuu juuu. Kama hivi hili suala posa angepeleka mzee wa
Kinyakyusa angeweza kabisa kumkanya huyo mama, kwenye kabila la wanyakusa posa yote anachukua baba wala sio mama, sababu mahari ni ya mama na mashangazi na majirani waliosaidia kulea binti, hiyo sasa ndo inagawanywa kwa wote. Posa ni ya baba, sasa kwasababu hamna mshenga mnyakyusa wala mzee kinyakyusa hamna mtu kutetea vitu kama hivo. Mimi mdogo wangu kaoa unyakyusani na hivi vitu navijua sababu hio. Process za ndoa zinaunganisha familia mbili rudi kwenu tafuta wazee wakushauri namna ya kwenda usilete uchekibobu kwenye jambo kama hili, wanyakyusa wapole ukikuta wachaga ukikataa jambo moja binti utamsikia redioni fuata mila za watu usilalamike mtoto wamelea wao mpaka umemwona kagharamiwa
 
Wewe kabila gani
 
huwezi kuoa kwa baba mkwe tajiri kisha utoe mahari laki 3 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio biashara hakuna. Mtoto aliotokea familia timamu lazma wachukue million 3 au zaidi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni balaa zito hilo bora uendelee kumega kisela kupunguza ugumu tu. Ukimzalisha tu jiandae kupajua ustawi na ofisi ya hakimu.
 
Kwenye ubishi hapo naomba glass ya maji kwanzaπŸ˜‚
 
Mimi Posa niliandikiwa ikapelekwa badala yangu, haikuwa na chochote zaidi ya maneno yaliyobeba ujumbe.

Poleni mnaopeleka Posa kwa kuambatanisha misimbazi.
 
Ila kwa takwimu nilizofanya wanawake wa kinyakyusa ndo wameolewa kwa wingi..wanaume wanasema despite ya mapungufu yao ila ni wife materials wanaweza kusimama hata mume akitetereka au kutokuwepo...
Hilo ni true by 80% moja sifa yao kubwa inayowapa nyota 5 kuelekea ndoani.

Japo kiburi na ubabe ndio huwa vinawaponza wengi ambao akili zao zinakuwa za kukopa kwa mama mkwe na mashangazi baada ya kuolewa. Wengi wanao cancel itikadi za kwao wakiolewa huwa wanakuwa wake wazuri sana ila wanaokumbatia hizo tabia wanawapa tabu waume.
 
Hii chaiπŸ€œπŸ€›πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…