Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Kama wanawake wote niliowaona kwny huu uzi To yeye and others...wanasema ni wanyakyusa basi ni wanawake wenye akili nyingi sana..kwa upande wangu huwa nawakubali..
Mbeya babes..nawapenda nimesoma nao wengi shule huko mbeya..wako real sana..na wakarimu...
Kwa niaba ya wanawake wa kinyaki wa kwenye uzi huu; na sisi tunakupenda kinomanoma
 
Thinking



Imeuwa mzee
Ufuate ushauri sio unajibu kijuu juuu. Kama hivi hili suala posa angepeleka mzee wa
Kinyakyusa angeweza kabisa kumkanya huyo mama, kwenye kabila la wanyakusa posa yote anachukua baba wala sio mama, sababu mahari ni ya mama na mashangazi na majirani waliosaidia kulea binti, hiyo sasa ndo inagawanywa kwa wote. Posa ni ya baba, sasa kwasababu hamna mshenga mnyakyusa wala mzee kinyakyusa hamna mtu kutetea vitu kama hivo. Mimi mdogo wangu kaoa unyakyusani na hivi vitu navijua sababu hio. Process za ndoa zinaunganisha familia mbili rudi kwenu tafuta wazee wakushauri namna ya kwenda usilete uchekibobu kwenye jambo kama hili, wanyakyusa wapole ukikuta wachaga ukikataa jambo moja binti utamsikia redioni fuata mila za watu usilalamike mtoto wamelea wao mpaka umemwona kagharamiwa
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Wewe kabila gani
 
Wanapooana maskini posa huwa ndogo.Posa kubwa inategemea muolewaji anatokea familia yenye hadhi gani? Na yenye maadili gani? Kuna binti toka familia yenye hadhi na maadili mazuri ukienda kuoa mahari yaweza anzia milioni tatu kwenda juu.Ukienda zenye hadhi ndogo na maadili madogo mahari yaweza kuwa hata elfu kumi au hata bure na posa waweza weka hata shilingi elfu mbili

Kupiga hesabu ya posa ni kuwa iwe asilimia kumi ya mahari tarajiwa
huwezi kuoa kwa baba mkwe tajiri kisha utoe mahari laki 3 😂😂😂 hio biashara hakuna. Mtoto aliotokea familia timamu lazma wachukue million 3 au zaidi.
 
Kaka unachosema ni sahihi asilimia 100.

Kuna Manzi ananipenda vibaya sana tena alinitongoza kabisa na ni pini hasa. Ana kazi yake fresh na ananisikiliza shida moja tu alipoanza kufunguka kuhusu familia yake hapo hapo nikaona haifai mimi kujiingiza kwenye msala.

Mama yake ni msumbufu halafu anambuluza sana baba yake hana sauti, mama sio mwelewa kiasi cha kwamba anaomba hela vibaya na kumuingiza bint kwenye madeni ya ajabu. Mwanzo sikuamini ila nilipoona sms na voice note nikasema hapa si pa kuoa halafu mbaya zaidi bint alimwambia mama yake kua ana mtu muislam anataka kuja kutoa posa ebwana ilikua balaa hayo maneno. Amemwambia atamkataa kua sio mwanawe siku akiamua huo uamuzi yaani now bint hata akifunga shungi ugomvi.

NB:ukiona familia mama ana sauti kuliko baba kimbia usije ukaoa hapo unakimbilia matatizo.
😂😂😂😂😂😂 ni balaa zito hilo bora uendelee kumega kisela kupunguza ugumu tu. Ukimzalisha tu jiandae kupajua ustawi na ofisi ya hakimu.
 
Hapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).

Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.

Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )
Kwenye ubishi hapo naomba glass ya maji kwanza😂
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Mimi Posa niliandikiwa ikapelekwa badala yangu, haikuwa na chochote zaidi ya maneno yaliyobeba ujumbe.

Poleni mnaopeleka Posa kwa kuambatanisha misimbazi.
 
Ila kwa takwimu nilizofanya wanawake wa kinyakyusa ndo wameolewa kwa wingi..wanaume wanasema despite ya mapungufu yao ila ni wife materials wanaweza kusimama hata mume akitetereka au kutokuwepo...
Hilo ni true by 80% moja sifa yao kubwa inayowapa nyota 5 kuelekea ndoani.

Japo kiburi na ubabe ndio huwa vinawaponza wengi ambao akili zao zinakuwa za kukopa kwa mama mkwe na mashangazi baada ya kuolewa. Wengi wanao cancel itikadi za kwao wakiolewa huwa wanakuwa wake wazuri sana ila wanaokumbatia hizo tabia wanawapa tabu waume.
 
Ni kawaida wanyakyusa kwenye mahari wanapenda sana msumbuane. Ila ni watu wanaopenda sana undugu na ukarimu ila wanawake wao wanapenda ubabe na ujuaji.

Wakishajua kuuza nguniani na maparachichi sokoni wanakua hawaheshimu tena wanaume na wengi wao wanalea familia bila wanaume. Pia ukioa mnyakyusa jiandae akifiwa atakaa miezi 2 ndo arudi nyumbani, wanaomboleza 'kwerikweri'.
Hii chai🤜🤛😂
 
Back
Top Bottom