Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Umeandika na maumivu fulani kisa mie kuwa mtizamo tofauti.
Kuna Tabia za kila familia. Huwezi sema waafrika wote tunafanana am sure.
Kuna Koo ndani ya kabila,Kuna classification kibao ndani ya Koo moja elewa.
Kuna wanyakyusa labda wanatoa mabinti zao free sema hujatembea kwa kabila zima ili uone.

Haiwezekani ufanye easy conclusions ndio tuichukue iwe facts kwa population nzima.
So hata nikikutana na mzambia akampenda mnyakyusa akaniuliza mie Kama mtanzania Basi nimwambie ulivyosema hapa ama inakuwaje.
Umejuaje kama Ni wewe wamekufanyia ivyo alone.

Yaani your easy research or experience Basi iwe universal truth.
I can't na atakaye kubaliana na wewe anayo easy mind or cheap dopamine mind Kama sio easy negative mind.
You need to weed your mind so that you can see positivity within negativity.

Hao wote nishawasoma usijali na bado naendelea kusoma wengine hata Greece philosophers nadhani hupotezi kitu mie kuwasoma ama Kuna mahala unachubuka.

Kama unacho kitabu nitumie
 
Wewe ndio wale "if i can't understand it's nonsense".
Oky! Tu assume wewe ndio umeandika fact na mimi ndio biased, irrational, subjective.
How it feels now!? I think that it's good for your ego.
 
Wewe ndio wale "if i can't understand it's nonsense".
Oky! Tu assume wewe ndio umeandika fact na mimi ndio biased, irrational, subjective.
How it feels now!? I think that it's good for your ego.
Put in numbers what you're talking mkuu. Na sio just feelings.yaani ukiambiwa fulani Ni mbaya mtumbue Basi na wewe unatumbua. Show us numbers , remember everything is the numbers game.
Whether you like or not.
Haiwezekani familia moja uweke conclusion ya population nzima.
We need mean of your samples iwe angalau approached to population mean.

Talk in numbers Ila Kama unatumia feelings , thoughts tuelewane na uelewe kuwa feelings sio universal or objective.
We should remove this kind of thinking.ukakutana na msukuma mmoja akakufanyia mazuri Basi ukaingia mzima mzima kuwa wasukuma Ni watu wazuri.
If you can't put into numbers what you're talking just continue with your mind model of evaluation and analysis. Mie sikubaliani na wewe
 
Ulikwenda na usafiri
Gani huko unyakini? tuanzie hapo kwanza.
 
Hizo number ungeanzia hapa kuangalia ni wangapi wanasema wanawake wa kinyakyusa ni wababe ni coincidence kwamba wote wanawaonea!?
Kama mwanamke anapata confidence ya kufanya hicho kitu i believe ni kitu cha kawaida kwao because ni product ya hiyo jamii husika.
Na huyu bwana hahitaji kuoa kabila zima hizo data hazina msaada kwake.
Unaposema ni put in numbers siamini hata matendo yako na fikra zako unaweza kuza put in numbers kama inavyo dai sio tatizo lako umeanza ku undergo ule ugonjwa uitwao scientism
After all i agree to disagree.
 
Mkuuu mbona una mtisha kijana, Huyo mwanamke anaolewa anaenda kuwa familia ya upande wa Mumewe kwa hiyo mke hawezi kuleta tamaduni zao kwenye tamaduni za jamii nyinge, mfano umeoa bint wa kimasai na wewe mfano ni Mchaga kwa hiyo binti wa kimasai ataziacha Mira zao uko numbani kwao kwasababu kaenda kwenye jamii tofauti na yao. Huyo binti umesema ni Mnyakyusa na Wazazi wake wote ni kabila moja, ingekuwa Baba yake mkulya na Mama yake Mnyakyusa na kwenye Mahari mama yake ndiyo kiongozi hapo ingekuwa majaabu.
 
DNA, choo ni nyumba na mke ni mama mkwe huyo atajuta maisha yake yote akiwa hicho kinyago. Ogopa sana, na kawaida usikose kabla ya kuongea na wababu na wabibi wa hilo kabila na kupata umbea juu ya utawala wa Baba na historia ya upande wa mama na Baba, kuna baadhi ni wachawi wakubwa as time goes on wanawake aina ya nyoka wanameza waume zao.

Kauli mbiu kwa usalama kataa kuoa kataa ndoa uishi salama
 
Mkuu wanawake wa huko full black, full fuvu kubwa, full miguu minene, full shape kujazwa nyama, umependea nini huko au ile ubaunsa wa kujitwika tenga kwa mkono mmoja, hahaaa utakuja kupewa nakosi ndani uombe poooh.
 
We see things as we're not as they're.
 
Pole sana kijana. Wakati wa kuoa ni muhimu mrudi kwa wazee ili mfuate mila za mnapooa. Tafuta mshenga mnyakyusa ndo apeleke posa. Posa haipelekwi na wewe muoaji. Pia wakati wa mahari mshenga awe mzee wa kinnyakyusa. Mkienda kuoa kabila lingine nendeni na wenye kbila lao ukienda hivi hivi hautoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…