Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Pole mkuu unaonaje ukaachana na huo mpango wa kuoa maana inaonekana mama mkwe tapeli na unaenda kupewa binti tapeli pia!
Ila mkuu kama suala la kutoa hiyo hela limekutoa jasho hivyo mpaka umekuja kulalama huku JF je utaweza kweli kummudu huyo mnyakyusa? Mbona kama unaanza kupelekeshwa mapema kabisa? Dada zangu wakinyakyusa nawaelewa sana yaani hapa mwanzo wanakupima ukijichanganya tu ukaongeza hiyo hela basi tayari wameshajihakikishia wewe ni bwege na unatawalika. Ulichotoa ndo umetoa wakikomaa waambie basi waendelee kusubiri utafute halafu unapiga kimya uone watakavyojileta wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thinking

Imeuwa mzee
 
Huyu kampa mimba na hiyo ni fine ila naona haelewi
 
Eti financial services ni kweli?

Njoo uwatetee ndugu zako.
Hapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).

Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.

Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )
 
Mtafute Embezzler akupe mbinu za UNGUFYE UNGUFYEE

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ndaga fijo shemeji
 
Kuna mashangazi; afu kuna mashangazi wa kinyaki
 
Sahihi wanyakyusa mtoto hulekewa na jamii sasa mtu kama katoka familia self contained ya yeye na baba yake na mama yake tu hiyo mila ya kugawana mahari kijiji chote lazima asiielewe

Kifupi akaoe huko anakoelewa to cut the story short shenzi type
 
Hivi we ushaolewa tuanzie hapo..ili nijiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…