Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
250k. tu una risk lifestyle na future ya mtoto.
probably umetoka kwa single parents family. sio kwa akili hizi.
probably umetoka kwa single parents family. sio kwa akili hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not we but you, hizo number za we umetoa wapi beliver of numbers!!?We see things as we're not as they're.
ThinkingMbona una sample space moja Ila unadai kuwa unazo demographic data. Mie nikajua umetembea kwa Ilo kabila lote. Mana hapa probability hata Hakuna ,so umeenda kwa familia moja zipo familia ngapi ili tuone Ile number of events over the total number of sample space.
Ili Sasa tupige hesabu tuone unachoongea.
"I often say that when you can measure what you are speaking about, and express it in numbers, you know something about it; but when you cannot measure it, when you cannot express it in numbers, your knowledge is of a meagre and unsatisfactory kind." ~ Lord Kelvin.
Mana hapa umeongea hisia we need facts. Hebu jaribu kutembea kwa familia Milioni moja za kinyakyusa halafu ulete hapa ili tupime. Na wewe Sasa unataka tuungane na wewe ili tuwapige Vita wapunguze mahari.
Mbona kwanza unachotoa Ni kidogo mno.
Wa Dinka wa sauzi sudani wanatoa ng'ombe 100-500 na binti anakaa na wewe 4yrs bila ya kufanya kazi yoyote akihudumiwa na ndugu zako na ukijichanganya ndani ya hiyo four years anasepa na haurudishiwi mahari.
Yaani wewe hela ya kuhonga unalalamika.
Sasa akikiugulia ukatumia milioni si utakuja kuwa mke Ni gharama.
When you are face to face with a difficulty, you are up against a discovery.” “The more you understand what is wrong with a figure, the more valuable that figure becomes.” “To measure is to know.” “If you cannot measure it, you cannot improve it.
Pole sana kijana. Wakati wa kuoa ni muhimu mrudi wa wazee ili mfuate mika za mnapooa. Tafuta mshenga mnyakyusa ndo apeleke posa. Posa haipelekwi na wewe muoaji. Pia wakati wa mahari mshenga awe mzee wa kinnyakyusa. Mkienda kuoa kabila lingine nendeni na wenye kbila lao ukienda hivi hivi hautoaok
Imeuwa mzeePole mkuu unaonaje ukaachana na huo mpango wa kuoa maana inaonekana mama mkwe tapeli na unaenda kupewa binti tapeli pia!
Ila mkuu kama suala la kutoa hiyo hela limekutoa jasho hivyo mpaka umekuja kulalama huku JF je utaweza kweli kummudu huyo mnyakyusa? Mbona kama unaanza kupelekeshwa mapema kabisa? Dada zangu wakinyakyusa nawaelewa sana yaani hapa mwanzo wanakupima ukijichanganya tu ukaongeza hiyo hela basi tayari wameshajihakikishia wewe ni bwege na unatawalika. Ulichotoa ndo umetoa wakikomaa waambie basi waendelee kusubiri utafute halafu unapiga kimya uone watakavyojileta wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kampa mimba na hiyo ni fine ila naona haelewiNi familia hiyo uliyoenda kuoa sio kabila zima, na hiyo uliyopeleka ni posa yaan kishika uchumba hakitakiwi kuzidi 100,000/= labda kama umempa mimba kabisa hapo ndo faini inakuhusu inainzia 150,000-300,000/= kuhusu maamuzi yako chini ya baba na mashangazi sio mama, nimeoa unyakyusani na mwaka wa nane huu niko na mama chanja wangu life linaenda. Onyesha msimamo ukienda kinyororo utakula za uso
Labda wa kubadili dini ukubwani ila wa kuzaliwa nao hakunaKwani hakuna waislamu wanyakyusa?
Imagine the riskNot we but you, hizo number za we umetoa wapi beliver of numbers!!?
Nilishangaa yule sheikh mwaipopo[emoji23] nikajiuliza. ..wapi na wapi wanyakyuaa na IslamicLabda wa kubadili dini ukubwani ila wa kuzaliwa nao hakuna
Hapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Mtafute Embezzler akupe mbinu za UNGUFYE UNGUFYEEMama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.
Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran
Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.
Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.
Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.
Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.
Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000
Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi
Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.
Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Ndaga fijo shemejiNi familia hiyo uliyoenda kuoa sio kabila zima, na hiyo uliyopeleka ni posa yaan kishika uchumba hakitakiwi kuzidi 100,000/= labda kama umempa mimba kabisa hapo ndo faini inakuhusu inainzia 150,000-300,000/= kuhusu maamuzi yako chini ya baba na mashangazi sio mama, nimeoa unyakyusani na mwaka wa nane huu niko na mama chanja wangu life linaenda. Onyesha msimamo ukienda kinyororo utakula za uso
Kuna mashangazi; afu kuna mashangazi wa kinyakiHapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.
Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )
Na kuachana dakika tu hakuna mazagazagaUislam ni mwema sana, hatuna mazagazaga yote hayo.
Hahaa mashangazi ni watata hao😃Kuna mashangazi; afu kuna mashangazi wa kinyaki
Sahihi wanyakyusa mtoto hulekewa na jamii sasa mtu kama katoka familia self contained ya yeye na baba yake na mama yake tu hiyo mila ya kugawana mahari kijiji chote lazima asiieleweHapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.
Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )
Kwa kweli mashangazi wa kinyaki Wana tuzo yaoHahaa mashangazi ni watata hao😃
Hivi we ushaolewa tuanzie hapo..ili nijiandaeHapana siyo kweli kuhusu mahari or posa kubwa inategemea na familia yenyewe, ila kuhusu mahari kugawanywa hadi kwa majirani ni kweli,sisi tunaamini jamii nzima inahusika katika malezi ndiyo maana jirani anaweza akakuadhibu kama kama mzazi wako, ikitokea kuna kitu kibaya umefanya amekuona, so yes wanahusika kwenye mgao hata kama watapata kiasi kidogo( nilishawahi kushuhudia majirani wamegawana sh 3000 3000 za mahari ya binti, ni kwa furaha tu wanafanya hivo na wanapiga vigelegele na kushangilia sana kama kumpa baraka binti yao huko aendako).
Pia mama kuwa na sauti mmh hapana hivi unawajua mashangazi na kaka yao(baba binti) mkuu ? Wao ndiyo wenye sauti, Mama anakua anasikiliza tu hana say sana.
Karibuni muoe unyakyusani, tuna roho nzuri mno siyo wabishi( najipigia promo kidogo😃🥰 )