Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 583
- 590
Kuoa sio lele mama vijana, kuna makabila
Mama ndo ana sauti utaenda kila familia ila ndo hivo hivo. Sasa kuoa sio lele mama nenda na mshenga wa hilo kabila usilete ujuaji kwenye ndoa hutaoa. Mimi nilioa mpare posa ilikubaliwa mahari ikakatiliwa na ikapandishwa hapo hapo kwenye tukio. Mama akalia baba akasusa. Mshenga ndio alikaa nao kujadili. Siku hiyo haikufanywa sherehe ilibidi turudi tena siku nyingine mahari ilikataliwa na baba na mashangazi wa binti wamekaza mbele ya familia yangu yote.. wewe ungeweza? Bado kidogo kidume nitoe chozi utoe wapi 2.5 million hapo hapo familia yenyewe Me ndo naitunza unaweza kuanza kuchangisha hapo hela itimie? Ililuwa fedheha. Nenda na mshenga wa hilo
Kabila, mshenga akawakemea kikwao kabisa na kuwashirikisha maisha yetu me na huyo dada ( nilimgharamia sana) baadaye wakaona aibu tukarudi tena hio pesa hatukuitoa. Nenda na mshenga