Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

Sagatinho

New Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
 
Kwa mwanaume haina madhara kwa sababu yeye hawezi kuja na zile shahawa za mtu mwingine na hawezi kumnyonyesha mtoto ispokuwa mama akifanya hivyo kumbuka mama yeye anapokea mbegu na kuja nazo alafu anamnyonyesha mtoto shida ndio iko hapo
 
Back
Top Bottom