Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

🤣🤣🤣🤣jamaa atakuwa alimwaribia kabisa siku yake
Wewe ungekuwa ndio Mume halafu anakuja Mwanaume mwingine (Boya) anamwambia Mkeo ana macho mazuri....ungenyamaza na kukenua tu sio?
 
Mimi ningekuwaje mume sasa?mifano mingine jau sana
 
Back
Top Bottom