Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Mie mzeya nijipa moyo kuwa next time akija nitulize pumzi kwanza....nilioiga maji kama litre kabla ya game. Alafu baadae wakati wa romance sikupiga sana kiduchu tuu alafu imooooo
Shukrani itabidi nijaribu hii njia
 
Huna tatizo ila uoga mwing Sana kijana wala usiwazie kuhusu madawa ila fanya mazoez kula vitu vya asil flani ivi🍉🍉
 
Sawa mwanawane....hizi mbususu zipo tuzipelekee moto so wee zigegede tuu...hamna faida ya kufa na afya njema
Yaan wiki hizi nilipata wadada zaid ya watatu sema hofu ya kuweza kuperform ikaniandama
 
Kupiga punyeto ni sawa na kuoa mkono wako mwenyewe. Hivyo kiroho wewe ulishaoa siku nyingi na mke wako ni huo mkono unaoutumia kumwaga shahawa zako chini.

Ushauri wangu :
  • acha kabisa punyeto kuanzia leo.
  • achana kabisa na zinaa au mawazo ya zinaa.
  • jitenge na kila aina ya uasherati kwa muda wa miaka 7. Hata picha za ngono jiepushe nazo kabisa.
  • baada ya miaka 7 kupita, utakuwa katika hali nzuri hivyo tafuta Mke wa kuoa na kamwe usirudie punyeto.

Ukiweza hayo niliyokushauri hakika utaona faida yake hapo baadaye. Miaka 7 siyo mingi.
 
Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s.Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu.

Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi zilijigonga kwangu niliishia kula kwa macho na nyingine kuzikataa kabisa,pengine labda ni malezi,udomo zege au kukosa exposure ndio kulinisumbua na kunifanya nishindwe kugegeda hata pisi moja.

Katika muda huu wote chaputa ndio ilikua kimbilio langu kiukweli nimepiga sana pulii, pale nilipokua naona wadada wazuri walioumbika wenye misambwanda(ndio ugonjwa wangu) mabao ya mkono ndio yalikua kipoozeo changu.

Sasa baada ya muda nikaona ni wakati sahii wa mimi kufanya mapenzi(penetrative sex) ikanibidi nimualike mdada mmoja ghetto ili nimgegede,kwa kua ananipenda hakukutaa wito wangu.

Siku ya kwanza pisi ilifika ghetto zoezi halikufanikiwa kwa sababu ndio alikua anamalizia siku zake tuliishia kufanya romance tu, Baada ya kumaliza siku zake pisi ikarud tena ghetto kwa ajili ya sex,tulifanya romance vizuri nikapiga foreplay ya maana,nyonya sanaa ,pima oil na tomasa vya kutosha had mtoto akalainika, akabak kunambia J ingiza, ndipo tatizo lilipo anzia kiukwel kila nilivyotaka kuingiza dushe lililala na sikufanikiwa.

Mtoto akazidi kulalamika kua niingize ingali mimi mashine imelala ikanibidi nisingizie nimepata tumbo la ghafla,nikaishia kumchezea tu.
Kesho yake alirud tena cha ajabu ndipo mashine iligoma kabisa kusimama ikabidi nizidi kusingizia ugonjwa.
Hilo jambo liliniuma sana kulala na mtoto mzuri usiku mzima na kushindwa kumgegeda.
Hii kitu ilinitesa sana kias kwamba wiki mbili zilikata bila kua na hisia zozote za kimapenzi.

Naombeni ushauri wa kimawazo hata tiba pia hii hali inanitesa sana na najiulza maswali mengi.Nimeanza kujuta kwa nini sikuanza mapema haya mambo kama wenzangu pengine labda hili tatizo lisingenikuata.
Je hili ni tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ama ni nini???

Ninahitaji msaada, matusi hapana tafadhali.
Nyeto ulzopga ndio sbb, achen nyeto vjana
 
Ndio nataman hivo lakini bado sijajijenga kiuchumi kuweza kuoa kwa muda huu
Kwa njia hii unayotaka kuchagua nakutabiria moja au zaidi kati ya haya: ukimwi, magonjwa ya zinaa, atapata mimba ataitoa au utamtelekeza mtoto, roho chafu za aina mbalimbali, mahusiano mengi yatakayokuvunja moyo kupelekea uraibu, sonona 🥴
 
 
Kupiga punyeto ni sawa na kuoa mkono wako mwenyewe. Hivyo kiroho wewe ulishaoa siku nyingi na mke wako ni huo mkono unaoutumia kumwaga shahawa zako chini.

Ushauri wangu :
  • acha kabisa punyeto kuanzia leo.
  • achana kabisa na zinaa au mawazo ya zinaa.
  • jitenge na kila aina ya uasherati kwa muda wa miaka 7. Hata picha za ngono jiepushe nazo kabisa.
  • baada ya miaka 7 kupita, utakuwa katika hali nzuri hivyo tafuta Mke wa kuoa na kamwe usirudie punyeto.

Ukiweza hayo niliyokushauri hakika utaona faida yake hapo baadaye. Miaka 7 siyo mingi.
miaka saba ya zebaki au ya earth?
 
Back
Top Bottom