Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Saikolojia yako ndo ina shida, kama uluvyoshauriwa na wadau kabla kwamba punguza kukamia na woga ile kitu haing'ati kusema ukiingiza haitoki no, pia kama umezoea sana nyeto basi punguza usifanye kama kuongea kila muda unaongea tu hapana ila fanya kama kuongea pale unapohitajika kuongea.
 
Huna shida yoyote! Fanya tu kama unavyoshauriwa na wadau hiyo hali ni ya kawaida kabisa
 
Shukrani,nitajitahidi nizingitie haya
Hayo ni madhara ya nyeto live mkuu. Me ni muhanga wa tatizo km lako...ulivosimulia ni very same case to me! Ni psychological problem!! Niliita demu toka moro to dar...nkachukua Lodge tujivinjari siku 2 nikalipia. Wakati anakuja namsubiri kwa hamu na mashine iko mnara hatari....nawaza jinsi ntakavyomshindilia nyama. Demu amefika mnara uko juu...tukaanza foreplay .....romance sana.....ilipofika point ya kuingiza....dude likalala yooooo!!! Jaribu na kujaribu wapi....kifupi nilidhalilika na the moment unapogundua kuwa ushatoa boko...ndo saikolojia inazidi kuharibika kabisa...hata kama ilikua inataka isimame ile hofu na aibu inafanya mnara upotee kabisa.
Basi mzee siku ya kwanza tukalala usiku mzima hakuna game!! Niliwaza sana...nifanyeje ili heshima isipotee jumla. Kesho demu akaenda kusalimia nduguze...makubaliano jioni tuko wote tena...ila akaomba nisimwangushe tena km previous night....alivoondoka tu na mm nikatoka. Nikaenda kusaka solution ktk maduka ya dawa za asili....na solution nloitaka ni ya mnara usome instantly baada ya kutumia....sio tiba ya miezi sijui miaka saba...no...kuna mwingine akaniambia nikupe dawa utatumia sijui miezi sita nikamwambia..no thank you...nikasepa...huyo ndo sasa akanambia ...we rafiki yangu inaonekana hutafuti tiba ya tatizo unataka tu ya kusolve tatizo kwa muda mfupi then tatizo liko palepale...nikamwambia yes nataka ya hapohapo kitu kisome...nifute aibu inayoninyemelea...japo sikumwambia yaliyonikuta...akanambia km ni hivo nenda maduka ya dawa utapewa vidonge...i think ndo viagra....mbinde ikawa kusaka duka la dawa ambalo hakuna wateja muda huo ili nieleze shida yangu kwa uhuru...haikuwa rahisi...baadae nikapata akili nikaandika meseji km vile mtu kanitumia nimtafutie dawa ya kuongeza nguvu ya kiume ktk simu yangu...then nikaisave ktk draft...nikazama pharmacy nikafungua meseji ile nikamwonesha muuzaji huku naamuliza....eti una hii dawa.....naye akajibu ipo. Nikamwambia nipe...nikapewa vidonge viwili nikasepa....nikarudi lodge nikiwa na matumaini tele kuwa leo lazima niipige km ngoma.....basi nikawa nawasiliana naye...nikawa nawasiliana naye kujua anatoka saa ngapi kurudi....aliponiambia tu ndo anapanda gari kuja...nikachukua kidonge kimoja nikabwia.....mdogomdogo nikaagiza na serengeti light nikawa napiga ili kama ni woga basi niufukuze kabisa....mpaka anafika tayari mnara ulikua on...na this time around haukushuka mpaka ikazama ndani kabisa....demu hakuamini km tatizo limeisha ghafla...she was very happy...so akauchezea the whole night....trust me what you need is an erection to penetrate into her...the rest inabaki history. Kidonge kimoja tu na wala sikurudia tena kunywa hayo mavidonge..siku zilizofata akawa akija hakuna mnara kufeli wala nn..kama ni gari ...unahitaji isukumwe kidogo tu iwake...ikishawaka ndo mazima....kinachokutesa ni woga...wasiwasi....

USHAURI:Tafuta kakidonge kamoja kakupe erection...ukiingiza tu mara moja.....wasiwasi na woga wote kwisha...utawabonda bila hofu. Miaka 7 sijui nn utachelewa mkuu
 
Jipe likizo kwa muda huku ukishuulikia hilo swala.
Tatizo la wengi ni nyege mshindo, anataka kila siku awe ananyandua. Ajitibie leo kesho anyandue.

Kama umepumzika nyeto ni vyema, kaa hata miezi miwili ukifanya mazoezi na kula vizuri( kula kulingana na kipato chako usijefilisika kabisa).

Maji ya kutosha , matunda na mazoezi.
Epuka video za ngono maana zinakufanya uuzoee mwili wa mwanamke na kukupunguzia msisimko.
Jiamini, story za jf kula kimasikhara, kupiga dem mpaka akakimbia na chupi mkononi, mwanaume mashine, nk nk zipotezee kabisa.
Badala yake anza kwanza kwa kuridhika wewe na sio mwanamke. Hakikisha unamwaga( ndo uzazi ulipo hapo). Ukiona hilo limefanikiwa basi ndo uhangaike na hayo mengine.

Mwisho kabisa tulia na mwanamke anaeielewa hali yako acha papara na umalaya. Hauna faida.
Kama hapo unasema eti manzi 3 walikua wanataka kuja geto na huyo mwingine wa 4. Huoni unajidhalilisha tu.

Kama mbinu zote zimegonga mwamba basi nenda hospitali( japo hii ilifaa iwe first option).
 
Hayo ni madhara ya nyeto live mkuu. Me ni muhanga wa tatizo km lako...ulivosimulia ni very same case to me! Ni psychological problem!! Niliita demu toka moro to dar...nkachukua Lodge tujivinjari siku 2 nikalipia. Wakati anakuja namsubiri kwa hamu na mashine iko mnara hatari....nawaza jinsi ntakavyomshindilia nyama. Demu amefika mnara uko juu...tukaanza foreplay .....romance sana.....ilipofika point ya kuingiza....dude likalala yooooo!!! Jaribu na kujaribu wapi....kifupi nilidhalilika na the moment unapogundua kuwa ushatoa boko...ndo saikolojia inazidi kuharibika kabisa...hata kama ilikua inataka isimame ile hofu na aibu inafanya mnara upotee kabisa.
Basi mzee siku ya kwanza tukalala usiku mzima hakuna game!! Niliwaza sana...nifanyeje ili heshima isipotee jumla. Kesho demu akaenda kusalimia nduguze...makubaliano jioni tuko wote tena...ila akaomba nisimwangushe tena km previous night....alivoondoka tu na mm nikatoka. Nikaenda kusaka solution ktk maduka ya dawa za asili....na solution nloitaka ni ya mnara usome instantly baada ya kutumia....sio tiba ya miezi sijui miaka saba...no...kuna mwingine akaniambia nikupe dawa utatumia sijui miezi sita nikamwambia..no thank you...nikasepa...huyo ndo sasa akanambia ...we rafiki yangu inaonekana hutafuti tiba ya tatizo unataka tu ya kusolve tatizo kwa muda mfupi then tatizo liko palepale...nikamwambia yes nataka ya hapohapo kitu kisome...nifute aibu inayoninyemelea...japo sikumwambia yaliyonikuta...akanambia km ni hivo nenda maduka ya dawa utapewa vidonge...i think ndo viagra....mbinde ikawa kusaka duka la dawa ambalo hakuna wateja muda huo ili nieleze shida yangu kwa uhuru...haikuwa rahisi...baadae nikapata akili nikaandika meseji km vile mtu kanitumia nimtafutie dawa ya kuongeza nguvu ya kiume ktk simu yangu...then nikaisave ktk draft...nikazama pharmacy nikafungua meseji ile nikamwonesha muuzaji huku naamuliza....eti una hii dawa.....naye akajibu ipo. Nikamwambia nipe...nikapewa vidonge viwili nikasepa....nikarudi lodge nikiwa na matumaini tele kuwa leo lazima niipige km ngoma.....basi nikawa nawasiliana naye...nikawa nawasiliana naye kujua anatoka saa ngapi kurudi....aliponiambia tu ndo anapanda gari kuja...nikachukua kidonge kimoja nikabwia.....mdogomdogo nikaagiza na serengeti light nikawa napiga ili kama ni woga basi niufukuze kabisa....mpaka anafika tayari mnara ulikua on...na this time around haukushuka mpaka ikazama ndani kabisa....demu hakuamini km tatizo limeisha ghafla...she was very happy...so akauchezea the whole night....trust me what you need is an erection to penetrate into her...the rest inabaki history. Kidonge kimoja tu na wala sikurudia tena kunywa hayo mavidonge..siku zilizofata akawa akija hakuna mnara kufeli wala nn..kama ni gari ...unahitaji isukumwe kidogo tu iwake...ikishawaka ndo mazima....kinachokutesa ni woga...wasiwasi....

USHAURI:Tafuta kakidonge kamoja kakupe erection...ukiingiza tu mara moja.....wasiwasi na woga wote kwisha...utawabonda bila hofu. Miaka 7 sijui nn utachelewa mkuu
Mzee ulikua huogopi kubwiya kidonge na bia??
 
Naunga mkono hoja tumia mara kadhaa ili ikupe confidence! Ila usije ukanywa viagra na alcohol inaweza punguza effiency!
 
Piga pull dogo achana na maswala ya wanawake hapo Mungu anakuokoa we hujajua tuu
 
Back
Top Bottom