Hko kpnd chote cha miaka saba ni kwa waathirika wote wa punyeto bila kujal amepga kwa mda gan au?
Inategemeana, lakini, kwa uhalisia hakunaga mpiga punyeto anayepiga mara moja tu na kuacha.
Fahamu kwamba vijana wengi wanapoingia balehe ndio huanza punyeto na wanapoanza ni ngumu kuacha sababu nyeto ni very addictive na ina madhara makubwa kwenye ubongo na kwenye uume.
Ubongo ndio unaoendesha tendo lote la sex. Mpiga punyeto anakuwa tayari ameuzoesha ubongo wake kuwa mkono ndio kiungo pekee cha kufanya nacho sex na siyo uke wa mwanamke. Ndiyo maana mpiga punyeto akikutana na mwanamke uume hausimami sababu ubongo unatuma taarifa tofauti kwenye uume.
Sasa basi ili kuurudisha ubongo katika hali yake ya mwanzo ni lazima tiba ya miaka 7 ifanyike nayo ni kuacha kabisa punyeto kwa kipindi chote cha muda huo.
Hakuna njia ya mkato. Kuna watu watakwambia sijui umeze dawa na baada ya Wiki mbili au mwezi umepona. Hao ni waongo na lengo lao ni kuuza hizo dawa ili wajipatie faida kubwa.
Well, unaweza ukatumia hizo dawa na ukaona matokeo tofauti, lakini, siyo matokeo ya kudumu na mbaya zaidi hizo dawa zina madhara makubwa kwenye mwili ikiwa ni pamoja na kuua figo zako.
Tiba ya abstinence kwa miaka 7 ni tiba sahihi isiyokuwa na madhara ypyote yale ya kimwili na ni tiba ya kudumu maisha yako yote.
Wengi watafikiri miaka 7 ni mingi, lakini, hebu fikiria miaka 7 iliyopita kutoka leo, Je, mwaka 2016 na leo sio kama juzi tu?
By the way, kuna vitu ukiharibu kwenye mwili wako kuna gharama kubwa sana na gharama ya punyeto ni kujitenga nayo kwa miaka 7!!