Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Shukran nimekuelewa,lakini tukija kwenye uhalisia miaka saba inaonekana ni mingi sana.
Maswali nayojiuliza ni
Je hiyo ndio tiba sahihi ya tatizo hili??
Je kuna mtu alishawah kupona kwa kufanya hivo??
Ni tiba sahihi kabisa.
Ndiyo, kuna watu wameijaribu na wamefanikiwa kwa asilimia 100!

Miaka 7 siyo mingi kama unavyofikiri. Mwanzoni utaona ni mingi, lakini, ubongo wako unahitaji muda mrefu ili kusahau kabisa punyeto.

Pia, mishipa ya uume wako na misuli ya uume itapata muda wa kurudia hali yake ya kawaida. Miaka 7 ni muda sahihi.

Faida nyingine ni kwamba utapata muda wa kujijenga kiuchumi na kiroho pia. Kinachotakiwa ni serious commitment na discipline ya hali ya juu. Msimamo dhabiti usiyoyumba au kuyumbishwa.
 
Kabisaa dada ako hapa nakaziaa.
Kwanini huyo binti alazimishe umfanye? Njia za Mungu ni nyingi maybe ana mimba anataka akushikishie.. Mungu anakulinda huna dhambi ya uzinzi mpk sasa hivyo utulie..
Nimekuelewa kuhusu huyo mdada,sema kuna wadada wengine nao wanaleta shobo unajua kabisa huyu anakutaka
 
Mtu anapoleta tatizo lake hapa, tafadhali tumsaidie, sio kumvunja moyo na kumkatisha tamaa!
shukrani kwako mzabzab kwa ushirikiano wako, nimesoma maoni kuanzia mwanzo

Unique Flower nae kaonesha ushirikiano kwa hisia kabisa, na wengne kibao. Tuendelee na moyo huo.

dogo, mimi pia niliwahi kupitia hali kama hyo tena bora wewe!
....bila kusema mengi ni kwamba tatzo lako ni woga, wala si vingnevyo.
 
Shukrani kaka,itabidi nifanyie kazi hili swala la uoga
 
Back
Top Bottom