- Thread starter
- #61
Ngoja nimfuatilie zaidihapana hapatikani humu nenda Instagram andika Dr Jj mwaka atakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimfuatilie zaidihapana hapatikani humu nenda Instagram andika Dr Jj mwaka atakuja
Miaka saba ya abstinence ni tiba sahihi kabisa ya ubongo na uume ulioathiriwa na punyeto.Bora miezi saba miaka saba Mkuu anakula na kushiba 🥴
Pamoja sana ndug 🤝🤝🤝Ngoja nimfuatilie zaidi
Oa mwanamke mnayependana, mkizoeana ndani utapata confidence utapona, atakuvumilia na kukusaidia
Ashakuelewa kuna mwenzie analalamika Gono haliponi yeye analalamika konga haisimami haoni km konga imegoma kuingia sehemu alafu ianze kuvuja usaha huku inapukutika km kidonda cha mzoga? Full kusukuza mainzi tu, konga imegoma kuingia pasipofaa maana inaona ikisimama ikaingia itateseka yenyewe kwa kuanza kuvuja usaha kaswende, Gono mixa pangusa na sio yeye, ogopa sana sikia tu kwa wenzio maumivu ya hayogonga mbususu nyingi zaidi, tena kavu bila nodom uimarishe uume mujarab kabisa
then tukutane kule Jamii Health ukilalamika metronidazole hazisaidii
Shukran nimekuelewa,lakini tukija kwenye uhalisia miaka saba inaonekana ni mingi sana.Miaka saba ya abstinence ni tiba sahihi kabisa ya ubongo na uume ulioathiriwa na punyeto.
Akifanikiwa kutimiza miaka 7 bila kufanya punyeto wala zinaa wala kuangalia porn atakuwa mtu tofauti kabisa. Atakuwa kama amezaliwa upya kabisa.
Kwa hiyo niconclude kua huenda labda nimeepushwa na mabalaah.Ashakuelewa kuna mwenzie analalamika Gono haliponi yeye analalamika konga haisimami haoni km konga imegoma kuingia sehemu alafu ianze kuvuja usaha huku inapukutika km kidonda cha mzoga? Full kusukuza mainzi tu, konga imegoma kuingia pasipofaa maana inaona ikisimama ikaingia itateseka yenyewe kwa kuanza kuvuja usaha kaswende, Gono mixa pangusa na sio yeye, ogopa sana sikia tu kwa wenzio maumivu ya hayo
Yes mkuu, hapo kuna babu yako alikua amekuzuia isisimame ulikua unaenda kuukwaa km sio Gono basi Pangusa, na kupona kwake ni mateso utakua unafukuzia mainzi tu km unauza samaki feliKwa hiyo niconclude kua huenda labda nimeepushwa na mabalaah.
Haya Sasa unatakajeMimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s.Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu.
Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi zilijigonga kwangu niliishia kula kwa macho na nyingine kuzikataa kabisa,pengine labda ni malezi,udomo zege au kukosa exposure ndio kulinisumbua na kunifanya nishindwe kugegeda hata pisi moja.
Katika muda huu wote chaputa ndio ilikua kimbilio langu kiukweli nimepiga sana pulii, pale nilipokua naona wadada wazuri walioumbika wenye misambwanda(ndio ugonjwa wangu) mabao ya mkono ndio yalikua kipoozeo changu.
Sasa baada ya muda nikaona ni wakati sahii wa mimi kufanya mapenzi(penetrative sex) ikanibidi nimualike mdada mmoja ghetto ili nimgegede,kwa kua ananipenda hakukutaa wito wangu.
Siku ya kwanza pisi ilifika ghetto zoezi halikufanikiwa kwa sababu ndio alikua anamalizia siku zake tuliishia kufanya romance tu, Baada ya kumaliza siku zake pisi ikarud tena ghetto kwa ajili ya sex,tulifanya romance vizuri nikapiga foreplay ya maana,nyonya sanaa ,pima oil na tomasa vya kutosha had mtoto akalainika, akabak kunambia J ingiza, ndipo tatizo lilipo anzia kiukwel kila nilivyotaka kuingiza dushe lililala na sikufanikiwa.
Mtoto akazidi kulalamika kua niingize ingali mimi mashine imelala ikanibidi nisingizie nimepata tumbo la ghafla,nikaishia kumchezea tu.
Kesho yake alirud tena cha ajabu ndipo mashine iligoma kabisa kusimama ikabidi nizidi kusingizia ugonjwa.
Hilo jambo liliniuma sana kulala na mtoto mzuri usiku mzima na kushindwa kumgegeda.
Hii kitu ilinitesa sana kias kwamba wiki mbili zilikata bila kua na hisia zozote za kimapenzi.
Naombeni ushauri wa kimawazo hata tiba pia hii hali inanitesa sana na najiulza maswali mengi.Nimeanza kujuta kwa nini sikuanza mapema haya mambo kama wenzangu pengine labda hili tatizo lisingenikuata.
Je hili ni tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ama ni nini???
Ninahitaji msaada, matusi hapana tafadhali.
Gear no mbili😂😂🙌🏽🙌🏽Kabisa anataka kuharibu sifa ya chama...tena yeye anapaswa apige nyeto kabla huyo demu hajafika gheto ili aanze na gear namba 2
Ushauri au solution kwa ambae ameshawah kukutana au kusikia kuhus tatizo hiloHaya Sasa unatakaje
Shukrani mkuu nitaufanyia kaziYes mkuu, hapo kuna babu yako alikua amekuzuia isisimame ulikua unaenda kuukwaa km sio Gono basi Pangusa, na kupona kwake ni mateso utakua unafukuzia mainzi tu km unauza samaki feli
Ushauri: endelea kumiliki kadi ya chama cha CHAPUTA na ubaki kua mwanachama hai km dronedrake achana na kujitafutia magonjwa usiyoyaweza kuyamudu
Muulize DeepPond na huyu mzab zab anaushauri mzuri.Ushauri au solution kwa ambae ameshawah kukutana au kusikia kuhus tatizo hilo
Sio kwamba nimeona mingi,lakini hili ni jambo linalonipa wasiwasi kama mwanaume.Miaka ishirini umeona mingi na umeanza kujuta! ujue Shetani amekukamata kisawasawa hadi umeanza kujuta kwa kitu kisicho sahih
Shukrani,hata nawe pia kama unasuluhisho laweza kua msaada mkubwa kwanguMuulize DeepPond na huyu mzab zab anaushauri mzuri.
Wee mpe ushauri piaMuulize DeepPond na huyu mzab zab anaushauri mzuri.
Hofu Yako tuSio kwamba nimeona mingi,lakini hili ni jambo linalonipa wasiwasi kama mwanaume.