Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

Mie mzeya nijipa moyo kuwa next time akija nitulize pumzi kwanza....nilioiga maji kama litre kabla ya game. Alafu baadae wakati wa romance sikupiga sana kiduchu tuu alafu imooooo
Shukrani itabidi nijaribu hii njia
 
Huna tatizo ila uoga mwing Sana kijana wala usiwazie kuhusu madawa ila fanya mazoez kula vitu vya asil flani ivi🍉🍉
 
Sawa mwanawane....hizi mbususu zipo tuzipelekee moto so wee zigegede tuu...hamna faida ya kufa na afya njema
Yaan wiki hizi nilipata wadada zaid ya watatu sema hofu ya kuweza kuperform ikaniandama
 
Kupiga punyeto ni sawa na kuoa mkono wako mwenyewe. Hivyo kiroho wewe ulishaoa siku nyingi na mke wako ni huo mkono unaoutumia kumwaga shahawa zako chini.

Ushauri wangu :
  • acha kabisa punyeto kuanzia leo.
  • achana kabisa na zinaa au mawazo ya zinaa.
  • jitenge na kila aina ya uasherati kwa muda wa miaka 7. Hata picha za ngono jiepushe nazo kabisa.
  • baada ya miaka 7 kupita, utakuwa katika hali nzuri hivyo tafuta Mke wa kuoa na kamwe usirudie punyeto.

Ukiweza hayo niliyokushauri hakika utaona faida yake hapo baadaye. Miaka 7 siyo mingi.
 
Nyeto ulzopga ndio sbb, achen nyeto vjana
 
Ndio nataman hivo lakini bado sijajijenga kiuchumi kuweza kuoa kwa muda huu
Kwa njia hii unayotaka kuchagua nakutabiria moja au zaidi kati ya haya: ukimwi, magonjwa ya zinaa, atapata mimba ataitoa au utamtelekeza mtoto, roho chafu za aina mbalimbali, mahusiano mengi yatakayokuvunja moyo kupelekea uraibu, sonona 🥴
 
 
miaka saba ya zebaki au ya earth?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…