Madhara ya chale za waganga wa jadi ni yapi?

Mmh! nilichanjwa chinibya kitovu kidogo tuh!
Ofisin kazi zilikuwa zinaenda tuh!
MaSemina yakutosha sana hata Majuz nilikuwa Dom Semina ya wiki mbili.
Kiufupi mambo yamenyooka ila sasa tatizo lake hii chale ina tia Hamu kweli.... Na Mr kasafir leo kwenda Dom Semina ya Afya wiki 3.
Nipo home tuh hapa DAR nimepooza hataree.
Aisee
 
Mtoto mzuri kama ww unaenda kujitoa kafara na machale ya kiganga ??
 
Kuna mzee mmoja aliwai kuniambia kuwa,chale za waganga unapochanjwa zinaondoa kinga ya asili uliyozaliwa nayo mwanadamu,haki na batili havikai sehemu moja,kinga ya asili inaondoka unabaki na kinga ya waganga ambayo sio madhubuti kama kinga uliyozaliwa nayo.
Jungu kuu alikosi ukoko mzee aliniambia mambo mengi na ya kustaajabisha.
 
Ubaya wa chale ukimkuta mtu aliekuzidi umekwenda na maji
 
Ukifika kwa mchanjaji muulize Do's /Dont"s
Atakupa zote mpaka na siku ya ku-Re-new

There is a price to pay to make the changes you want in life.
And there is also a price you are already paying for staying the way you are.
Jibu sio unaharisha
 
Mmh! nilichanjwa chinibya kitovu kidogo tuh!
Ofisin kazi zilikuwa zinaenda tuh!
MaSemina yakutosha sana hata Majuz nilikuwa Dom Semina ya wiki mbili.
Kiufupi mambo yamenyooka ila sasa tatizo lake hii chale ina tia Hamu kweli.... Na Mr kasafir leo kwenda Dom Semina ya Afya wiki 3.
Nipo home tuh hapa DAR nimepooza hataree.
Toa location au njoo location
 
Hazina madhara ila uwe na wembe wako na mganga awe msafi. Ni zindiko la mwili ama la kudumu au la mda. Kama ni mganga wa kweli hakuna atakaekuchezea katika ulimwengu wa roho. Hata kama ukipewa nyongo ya mamba haitakudhuru na wabaya wako watakuita mchawi.
 
Kimsingi wanalenga kutoa damu.Ile damu unaiona kidogo sikweli damu ni nyingi wanapewa viumbe ucowaona.
 
Wanapewa mashetwain nadhani eti halafu wao wanaifanyia nini hiyo damu
 
Sahihi kabisa ila moja ni kiroho nyingine ni kimwili
Mkuu hiv njiti ya kberit ina maajabu gan .....kuna mzee nlikua namsaidia hiz kaz alikuwa akichanja mtu anawasha kberiti then anachukua ule unga mweusi wa kiberit ulioungua af ana mix na zaga lingine leusi ........then anapaka kwenye chale
 
Hii hata mimi nilishawahi kuishuhudia aisee
 
Back
Top Bottom