Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Huu upuuzi wa kujadili madhara ya uchumi kabla ya kuziua maumbikizo ya sasa utasababisha vifo vingi. 1. Watoe idadi ya ukweli, iwe ya vifo, walioambukizwa na waliopona. 2. Waje na mpango wa kuzuia maambukizo 3. Mnaweza kujadili madhara ya uchumi.Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Ruaha catholicHaya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Acha tu..Vifo sawa, ila uchumi wa watu utakuwa vipi
Kuna wapuuzi watakuja kuandika upuuzi wakitetea upuuzi wao. Blessed ManHaya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Hivi huwa unasoma vizuri na kuelewa mtiririko wa mawazo??, Naona kama huwa unakurupuka kijinga kuandika tu!!, Kama hajaweka lock down imesaidia Nini?? Mbona haya yanatokea?, Mantiki ya mleta mada alitaka kuonesha ukaidi wa Bunge la ndugai kutokujadili madharaa yatakayosababishwa na covid19 kiuchumi. Hawa wafanyakazi was taasisi binafsi walipaswa kuanza kulipwa na serikali ikiwa shule,vyuo binafsi ni mdau wa maendeleo wao.Hapo Rais Magufuli hajatuweka lockdown
Nawaambieni tungewekwa lockdown tungekufa njaa
Kongole kwa Rais Magufuli
Bila kutaja jina la chuo hicho huu ni umbeaHaya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Wewe mapendekezo yako ni yapi?Haya ndio madhara ya kiuchumi ya gonjwa hili ambapo sasa kuna chuo kikuu kimoja cha binafsi kimewapa watumishi wake likizo ya dharura kuanzia tarehe ya leo na kutangaza kuwalipa nusu mshahara wafanyakazi wake mwezi huu wa April kutokana na akiba ya ndani chuo husika waliyonayo.
Vile vile, kwa mujibu wa nyaraka ya siri ya chuo hicho kwa wafanyakazi wake,chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Chuo pia kimetangaza kufunga shughuli zake zote isipokuwa zile za dharura tu.
My take:
Hapa ndipo umuhimu wa hoja za wabunge wa upinzani kutaka kujadili Bungeni madhara ya kiuchumi ya huu ugonjwa unaponza kuonekana na kwa hakika huko mbeleni umuhimu huu utajitokeza zaidi katika maeneo mengi na hata serikali yenyewe ni wazi itaguswa tu.
Time will tell.
Yetu macho na maskio katika kipindi hikiAcha tu..
.....chuo kinakusudia kuomba mabenki yasitishe makato ya mikopo kwa watumishi wenye mikopo katika kipindi hiki kigumu.
Hata chuo Cha taifa nao wameanza kulipwa nusu salary hii corona imezua balaa kubwa aiseee, I wish iishe upesi turudi normal
Sent using Jamii Forums mobile app
Makato ya mikopo inatakiwa isiitishwe sio tu kwa wafanyakazi sekta binafsi...
Makato yasiitishwe kwa mikopo yote, iwe wafanyabiashara au taasisi na kwa wafanyakazi wote.
Sheria ya Kazi inasemaje?.. Mkataba wa kazi je?... Je Ni halali kumpa mfanyakazi likizo isiyo na malipo gafla kipindi Cha matatizo Kama haya.
Wataalamu wa sheria waje kujibu hiliSheria ya Kazi inasemaje?.. Mkataba wa kazi je?... Je Ni halali kumpa mfanyakazi likizo isiyo na malipo gafla kipindi Cha matatizo Kama haya.