- Thread starter
- #21
hilo ndo jambo la msingi na ndio maana Yesu alikuja ili kuhubiri toba na ondoleo la dhambi kila iitwapo leo inatupasa tutubu na kuungama dhambi zetukama maana ndio hio basi uzinzi upo sana sanaa utaendelea kuwepo sanaa tena watumishi makanisani ndio wanauchochea maana wengi wao(sio wote) ni wazinzi hatari
...
kingine hata wewe,mimi na yule tunazini sana moyo soma Mathayo 5:27
Mmesikia usizini lakini mimi nawaambieni yeye amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini nae moyoni mwake
...
Mwenyezi MUNGU atusamehe sana rehema yake ituponye na hukumu iliyo mbele yetu AMEN