Madhara ya dhambi ya uzinzi

Madhara ya dhambi ya uzinzi

Biblia haizungumzi moja kwa moja juu ya punyeto (masturbation). Hata hivyo, kuna maandiko yanayohusiana na maadili ya kingono, unadhifu wa moyo, na kutamani ambayo mara nyingine hutumiwa na watu kutoa tafsiri zao juu ya suala hili.

Hapa kuna baadhi ya maandiko yanayohusiana:

1. Mathayo 5:27-28
Yesu alisema:
"Mmesikia kwamba ilinenwa, 'Usizini.' Lakini mimi nawaambia, kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."

Andiko hili linaonyesha umuhimu wa kuwa safi kiakili na kuepuka tamaa za kingono. Watu wengine hutafsiri kwamba punyeto inaweza kuwa dhambi ikiwa inahusiana na mawazo ya tamaa.

2. 1 Wakorintho 6:18-20
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu iko nje ya mwili, lakini yeye aziniye hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?"

Wengine hutafsiri andiko hili kuelezea umuhimu wa kuheshimu miili yetu na kuepuka tabia zozote zinazoweza kudhuru maadili ya mwili na roho.

3. Mwanzo 38:9-10
Kisa cha Onani, ambaye alijizuia kumwagia mbegu kwa makusudi. Mungu alimuadhibu kwa sababu ya kutotimiza jukumu lake la ndoa. Ingawa kisa hiki mara nyingine huchukuliwa kama hoja dhidi ya punyeto, muktadha wake unaonyesha kwamba adhabu ilitokana na kutokutii Mungu, si tendo lenyewe
.

Tafsiri ya Jumla

Biblia inalenga zaidi maadili ya moyo, nia safi, na kudhibiti tamaa za mwili. Ingawa hakuna andiko linalotaja moja kwa moja punyeto, imani za Kikristo mara nyingi huzingatia muktadha wa kutamani, uaminifu kwa Mungu, na utakatifu wa mwili. Kila Mkristo anapaswa kutafakari kiroho na kutafuta mwongozo wa Mungu katika mambo ya maadili binafsi.
 
Uzinzi na uasherati ni dhana zinazohusiana na mwenendo wa kimaadili, hasa katika muktadha wa dini na jamii, zinazorejelea tabia zisizokubalika za kingono.

1. Uzinzi: Huu ni tendo la kushiriki mahusiano ya kimapenzi au kingono na mtu ambaye si mume au mke wa ndoa. Uzinzi kwa kawaida huchukuliwa kuwa dhambi au kosa kubwa katika dini na tamaduni nyingi kwa sababu huvunja ahadi za uaminifu ndani ya ndoa.

2. Uasherati: Hili linarejelea mahusiano ya kingono nje ya ndoa au kabla ya ndoa. Ni neno pana zaidi linalojumuisha tabia za kingono zinazochukuliwa kuwa zisizo za maadili, kama vile ngono ya kiholela, uzinzi, au vitendo vingine vinavyokiuka maadili ya kidini au kijamii.

Kwa ujumla, dhana hizi mbili zinahusiana na kanuni za kijamii, kidini, na maadili zinazokusudia kuimarisha heshima, uaminifu, na utakatifu wa mahusiano ya kibinadamu.
umeliweka sawa, hili asante sana
 
1. Huangamiza nafsi.
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)

Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu, na pia huondoa uwepo wa Mungu
kwa mtu na hicho ndicho kifo cha kiroho.

2. Huondoa ufahamu wa mwanadamu.
"Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu." (Hosea 4:11)
Mtu anakuwa hana uwezo wa kuwa na ufahamu wa mambo mema ya kumpendeza Mungu, maana anakuwa hawezi kulitafakari Neno la Mungu, kila
wakati anakuwa anatafakari uzinzi tu.

3. Huchafua hekalu la Roho Mtakatifu.
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe." (1Wakorintho 6:18)
a) Uzinzi unahusisha viungo vya mwili, hivyo dhambi ya uzinzi inahusisha mwili moja kwa moja na ambalo ni hekalu la Roho Mtakatifu, (1Wakorintho 6:19)
Na Mungu anasema atamuharibu anayeliharibu au kulichafua hekalu la Roho Mtakatifu, (1Wakorintho 3:17)
b) Pia mwili ni kiungo cha Kristo,
"Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!" (1Wakorintho 6:15)
Swali la kujiuliza ni hili, Kama miili yetu ni viungo vya Kristo, Je, Yesu Kristo atakubali kuuwa na kiungo kichafu? Jibu ni hapana bali atakiondoa na kukitupilia mbali hadi kitakaposafishwa, mtu asipoomba toba ni lazima ataangamia kabisa maana anasema
tawi lisilozaa atalikata na kulitupa katika moto, (Yohana 15:6)

4. Humuunganisha mtu na madhabahu, miungu na ibada za mtu aliyezini naye, ukoo, kabila, nk.
"Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.”
(1Wakorintho 6:16)

Inawezekana kwa macho ya kawaida mtu asione, bali kiroho anakuwa ameshahama katika uwepo wa Mungu na kuungamanishwa na miungu ya yule mtu aliyezini naye, maana tayari wanakuwa mwili mmoja.

Anakuwa hana uwezo wa kumwabudu Mungu wa kweli, hata akiwepo
ibadani anakuwa hawezi kuunganishwa na Mungu kiroho, maana anakuwa tayari ana ibada za kishetani.

Kwa ujumla dhambi ya uzinzi kama zilivyo dhambi nyingine zote humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu.
Hivyo tunapaswa kuepuka sana dhambi hii pamoja na dhambi zote ili Mungu asituache, maana Mungu akituacha shetani anachukua nafasi na kuanza kutuendesha.

Omba toba, tubia dhambi zote pamoja na uovu wote, naye Mungu atakusamehe maana anasema atazisafisha dhambi zetu zote,
(Isaya 1:18)Mungu akubariki sana! Mungu atusaidie tukae kwenye kusudi lake🤝🙏
Ubarikiwe sana!!!
 
sio kweli, wacha nikuelezee kidogo hapa, kwa mifano
Watu wa Afrika Kaskazini walisafiri na kukaa pia katika miji ya Ulaya na Asia. Kutokana na mawasiliano mazuri tunaona Waafrika mbalimbali katika taarifa za Biblia Tuone mifano: - Yesu alipobeba msalaba wake kule Yerusalemu akaanguka chini. Maaskari wakamkamata mtu aliyepita mtaani jina lake ni Simoni wa Kurene. Jina linaonyesha ya kwamba alikuwa mgeni kutoka Kurene (Libia). (Lk 23:26) - wakati wa ushirika wa kwanza kule Yerusalemu, Filipo mwinjilisti alikutana na msafiri kutoka Kushi akambatiza. Kushi ni jina la kale la sehemu ya Sudan Kusini ya leo ,matoleo mengine ya Biblia hutafsiri: Mhabeshi au Mwethopia). (Mdo 8:26 n.k.). - katika ushirika wa mji mkubwa wa Antiokia (Asia Magharibi) tunasikia juu ya watu wa asili ya Afrika waliokuwa viongozi wa ushirika huo. Mmoja ni Lukio Mkurene. Mwingine ni "Simeoni aitwaye Nigeri". Neno "Nigeri" linatafsiriwa "Mweusi". Kumbe hata huyu anaonekana ametokea Afrika kutokana na rangi yake. (Mdo 13)
Kwamba unabisha kanisa sio kitangulizi cha ukoni Africa?
 
1. Huangamiza nafsi.
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)

Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu, na pia huondoa uwepo wa Mungu
kwa mtu na hicho ndicho kifo cha kiroho.

2. Huondoa ufahamu wa mwanadamu.
"Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu." (Hosea 4:11)
Mtu anakuwa hana uwezo wa kuwa na ufahamu wa mambo mema ya kumpendeza Mungu, maana anakuwa hawezi kulitafakari Neno la Mungu, kila
wakati anakuwa anatafakari uzinzi tu.

3. Huchafua hekalu la Roho Mtakatifu.
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe." (1Wakorintho 6:18)
a) Uzinzi unahusisha viungo vya mwili, hivyo dhambi ya uzinzi inahusisha mwili moja kwa moja na ambalo ni hekalu la Roho Mtakatifu, (1Wakorintho 6:19)
Na Mungu anasema atamuharibu anayeliharibu au kulichafua hekalu la Roho Mtakatifu, (1Wakorintho 3:17)
b) Pia mwili ni kiungo cha Kristo,
"Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!" (1Wakorintho 6:15)
Swali la kujiuliza ni hili, Kama miili yetu ni viungo vya Kristo, Je, Yesu Kristo atakubali kuuwa na kiungo kichafu? Jibu ni hapana bali atakiondoa na kukitupilia mbali hadi kitakaposafishwa, mtu asipoomba toba ni lazima ataangamia kabisa maana anasema
tawi lisilozaa atalikata na kulitupa katika moto, (Yohana 15:6)

4. Humuunganisha mtu na madhabahu, miungu na ibada za mtu aliyezini naye, ukoo, kabila, nk.
"Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.”
(1Wakorintho 6:16)

Inawezekana kwa macho ya kawaida mtu asione, bali kiroho anakuwa ameshahama katika uwepo wa Mungu na kuungamanishwa na miungu ya yule mtu aliyezini naye, maana tayari wanakuwa mwili mmoja.

Anakuwa hana uwezo wa kumwabudu Mungu wa kweli, hata akiwepo
ibadani anakuwa hawezi kuunganishwa na Mungu kiroho, maana anakuwa tayari ana ibada za kishetani.

Kwa ujumla dhambi ya uzinzi kama zilivyo dhambi nyingine zote humuondoa mtu katika uwepo wa Mungu.
Hivyo tunapaswa kuepuka sana dhambi hii pamoja na dhambi zote ili Mungu asituache, maana Mungu akituacha shetani anachukua nafasi na kuanza kutuendesha.

Omba toba, tubia dhambi zote pamoja na uovu wote, naye Mungu atakusamehe maana anasema atazisafisha dhambi zetu zote,
(Isaya 1:18)Mungu akubariki sana! Mungu atusaidie tukae kwenye kusudi lake🤝🙏
Aisee! Sasa madada poa na wala madada poa mana yake humo mwilini mwao wanaishi miungu lukuki.
Balaaa hili....jamani mbususu tamu sasa tutafanyaje kuepuka uzinzi?
Udhaifu wa kibinadamu tuu huo
 
sadaka haimunufaishi Mchungaji inakunufaisha ww mtoaji, ndo maana hta mchungaji haitumiii bali inatumika kwa ajili ya kueneza injili ili iwafikie watu wengi zaidi, hata ww ukienda kwa mganga ukatoa kuku unadhan hyo kuku ni kwa ajili ya mganga, ni kwa ajili yako
Mkuu! seriously?? hawa wachungaji ambao wanabadili magar ya kifahari, ndo wanatumia kueneza injili?
 
Maneno "uzinzi" na "uasherati" yanahusiana na tabia za kingono zisizokubalika katika muktadha wa kimaadili au kidini, lakini kuna tofauti za msingi kati yao kulingana na matumizi yao katika dini na jamii mbalimbali:

1. Uzinzi

  • Maana: Uhusiano wa kingono kati ya watu wawili ambapo mmoja au wote wawili tayari wameoa au kuolewa na mtu mwingine. Kwa lugha nyingine, uzinzi ni tendo la kuvunja ahadi ya ndoa kwa kuwa na mahusiano ya kingono nje ya ndoa.
  • Muktadha wa Kidini: Katika maandiko ya kidini (kama vile Biblia na Quran), uzinzi mara nyingi huhesabiwa kama dhambi nzito kwa sababu unahusisha kuvunja ndoa, ambayo ni taasisi takatifu.
  • Mfano: Mwanamke aliyeolewa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamume ambaye si mume wake, au mwanamume aliyeoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine.

2. Uasherati

  • Maana: Tabia yoyote ya kingono ambayo hufanyika nje ya ndoa na inaweza kujumuisha uhusiano wa kingono kati ya watu ambao hawajafunga ndoa. Pia inaweza kuhusisha tabia nyingine za kingono zinazochukuliwa kuwa zisizofaa kimaadili au kidini.
  • Muktadha wa Kidini: Uasherati mara nyingi huhusishwa na maadili ya jumla ya uhusiano wa kingono, ambapo tendo la ngono nje ya ndoa linahesabiwa kuwa dhambi. Ni dhana pana zaidi kuliko uzinzi.
  • Mfano: Watu wawili ambao hawajaoana kushiriki mahusiano ya kingono, au hata tabia kama vile ponografia, uasherati wa maneno, au mawazo machafu kulingana na mtazamo wa kidini.

Tofauti Muhimu

KigezoUzinziUasherati
Hali ya ndoaHusisha watu walio katika ndoa.Husisha watu ambao hawajafunga ndoa.
MuktadhaKuvunja ahadi ya ndoa.Tabia yoyote ya kingono nje ya ndoa.
Mtazamo wa KidiniDhambi kubwa inayohusiana na ndoa.Dhambi ya jumla kuhusu tabia ya kingono.
MfanoMke/mume kutoka nje ya ndoa.Mahusiano ya kingono kabla ya ndoa.
Kwa ujumla, uzinzi ni sehemu maalum ya uasherati lakini uasherati ni dhana pana inayojumuisha tabia nyingine zote za kingono zisizofaa kimaadili au kidini.
.... SOURCE : CHATGPT
 
Bora nyie imani yenu inakataza uzinzi waziwazi 😅🤣 sisi huku uzinzi na ushirikina ndio nguzo zetu...
 
.... SOURCE : CHATGP
Ninayo mengi juu ya suala la uzinzi Ila maarifa haya hayatowafaa ikiwa hamna Kristo Yesu ndani yenu. Mnajua ni kwa nini Bwana Yesu akiwauliza wale jamaa waliomleta Mwanamke mzinifu kwake kuwa yu wapi mwanamume aliyezini naye?. Bali aliwasambalatisha kwa swali?.
 
Hiyo ni burudani binadamu na wanyama tulipewa, muhimu play safe cdm ihusike km umekutana na mtu hamuaminiani na usishiriki na mke/mume sio wako..!!!
 
Back
Top Bottom