hilo ndo jambo la msingi na ndio maana Yesu alikuja ili kuhubiri toba na ondoleo la dhambi kila iitwapo leo inatupasa tutubu na kuungama dhambi zetukama maana ndio hio basi uzinzi upo sana sanaa utaendelea kuwepo sanaa tena watumishi makanisani ndio wanauchochea maana wengi wao(sio wote) ni wazinzi hatari
...
kingine hata wewe,mimi na yule tunazini sana moyo soma Mathayo 5:27
Mmesikia usizini lakini mimi nawaambieni yeye amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini nae moyoni mwake
...
Mwenyezi MUNGU atusamehe sana rehema yake ituponye na hukumu iliyo mbele yetu AMEN
hapana hutishwi hakuna mkamilifu, unanafasi bdo ya kuungama, usiijite mdhambi ila tamani kutoka huko,Mbona mnatutisha wadhambi ππ
Rudi kwenye Dini yako ya asili,hutotishiwa moto wala kupewa ahadi za uwongo za mabikira 72 wenye macho makubwa huko peponi.Mbona mnatutisha wadhambi ππ
π₯΄π₯΄π₯΄ Dah πhapana hutishwi hakuna mkamilifu, unanafasi bdo ya kuungama, usiijite mdhambi ila tamani kutoka huko,
Mabikra 72, itakuwa mbingu kama guest za sinzaRudi kwenye Dini yako ya asili,hutotishiwa moto wala kupewa ahadi za uwongo za mabikira 72 wenye macho makubwa huko peponi.
Kwa hiyo kama haujaoa ndoa ya kanisani hakuna shida?uzinzi ni pale unapofanya mapenzi kabla ya ndoa, uasherati ni pale unapofanya mapenzi nje ya ndoa yaani umeoa ndoa ya kanisani lakini unafanya mapenzi na mtu ambaye sio mkeo au mmeo
Karibu Mkuuπ₯΄π₯΄π₯΄ Dah π
Mungu hana account ya bank wala mpesa!!!!Sadaka hazichukuliwi na mtu bali sadaka ni connection kati ya mtoaji na Mungu, yaani sadaka ni maungano au junction ya mtu na Mungu
Hazichukuliwi na mtu kivip kwamba huyu Mungu ndio anakuja kuzichukua? Wap na kivipi?Sadaka hazichukuliwi na mtu bali sadaka ni connection kati ya mtoaji na Mungu, yaani sadaka ni maungano au junction ya mtu na Mungu
Dah πππVipi sadaka za mtu alie zaliwa kwa hicho mnachokiita uzinzi mnachukua?
kuna shida kanisa ni balozi wa Mungu duniani, ameteuliwa na Mungu kupeleka injili , hivyo ni lazima ndoa iunganishwe kanisani, ili itambulike mbinguniKwa hiyo kama haujaoa ndoa ya kanisani hakuna shida?
mkuu unajua maana ya sadaka?Hazichukuliwi na mtu kivip kwamba huyu Mungu ndio anakuja kuzichukua? Wap na kivipi?
Jibu swali hiyo maana ungewaza kuielezea tu wakati unajibu swali langu.mkuu unajua maana ya sadaka?
hahahaha kwamba mabikra 72Mabikra 72, itakuwa mbingu kama guest za sinza
π.. I know kuna mmoja alifia dhambi ( pekee mwenye uwezo dhidi ya dhambi ) wengine wote anatuwwzesha dhidi ya dhambi zinazo tutesa.. kati yetu hakuna alie ifia dhambi, ila tunawezesha kushinda dhambi tunapotii.. eeh?Karibu Mkuu
Eeh! Maana itakuwa ni vitombooo masaaa yote.. unawake 72 na nguvu za kutumia wanawake 100.. unafikiri patakuwaje.. π πhahahaha kwamba mabikra 72
umeongea vyema sana mkuu,π.. I know kuna mmoja alifia dhambi ( pekee mwenye uwezo dhidi ya dhambi ) wengine wote anatuwwzesha dhidi ya dhambi zinazo tutesa.. kati yetu hakuna alie ifia dhambi, ila tunawezesha kushinda dhambi tunapotii.. eeh?
Sema uasherati π€π€π€
Kazi sana.
Kinachoongelewa ni uzinziVipi sadaka za mtu alie zaliwa kwa hicho mnachokiita uzinzi mnachukua?
Lini Mungu aliteua kanisa ? Kila mtu anajua kanisa Africa ulikua mpango kabambe wakuja kama kitangulizi cha wakoloni kwa ajili ya kutunyonya yaani wamisionari wa kikoloni . Wewe unavyosema mpango wa Mungu kivip na Mungu yupi na lini na ulijuaje?kuna shida kanisa ni balozi wa Mungu duniani, ameteuliwa na Mungu kupeleka injili , hivyo ni lazima ndoa iunganishwe kanisani, ili itambulike mbinguni