Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

hizo njia ni sahihi na zinafanya kazi kwa watu wanaochukua hatua ya kweli....men hizi mavitu hazinaga afya zitakuacha ukiwa hauna kitu na zinapora utu wako...be a real men
 
Toa conclusion kwa aliyepata madhara kwa kuishiwa nguvu ya kiume au hamu ya tendo la ndoa kutokana na punyeto au kusagana baada ya kuangalia haya mavideo ya ngono so anaweza kupona au ndo basi
 
Hizi video zipo kila sehemu ni kama vile ubicomp... na zingine zipo live kabisa baadhi ya maeneo.

Chunga sana watoto wasiingie kwenye huu ulevi.
 
hii pia inawakuta watu ambao wanastress sana, ninamshukuru mungu alie niokoa maana hata mimi nilikuwa nafanya mapenzi ya aina hii baada ya mume wangu kutotaka kushiriki tendo la ndoa kwa mda mrefu so niliona njia pekee ya kujiridhisha ni hiyo badala ya kuwa na mwanaume nje but NIMEACHA NA NIMWEZA KABISA NINA ZAIDI YA MWAKA NA NIKO SAWAA KABISA KANISANI PALINI SAIDIA NA MAZOEZI
 
Ni
Brother naomb kuzungumza nawewe kama hutojali
 
kuna wengine wanaangalia kwa positive reasons, mfane couples wanaangalia ili kupata elimu ya styles, how to care during sex n.k
 
Natumai hamjambo wakuu.

Mwanamke anayewatch porn ni ngumu sana kutulizana katika ndoa/mahusiano kwa sababu atatamani kufanyiwa kama anayoyaona bila kujali anaowatizama wanatumia madawa.

Pia mume/mpenzi anaweza kuwa na maumbile madogo hivyo akaona kama hayamtoshelezi na kupelekea kumdharau mwenza wake hata akatafuta madude makubwa.

Madhara ya kutazama porn kwa wadada ni mengi lakini ni rahisi sana kuyaepuka kwa kuacha tu kuangalia.


 
Kumbe haya mamboni ya wanaume lakini hawa wanawake wana lazimisha kumbe haya mambo au ndio ile 50-50 wanayosemaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…