Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Mkuu unataka kunambia unaokutana nao wanakugegeda kama unachokiona kwenye porn?
 
Binafsi nasemaje,
"Too much of anything is harmful"
Nishawahi kudate na dada mmoja hivi., Yaani yeye akishika simu yangu tu, mpe dakika 5 yupo kwenye 'porn sites' na kunako mambo ndo kabisaaa. (Hopefully, she ain't reading this article)
I loved her hata hivyo.
 

Wangu anasema haangaliagi ila nikishika sim yake kwenye browser history nakutana na links anaangalia mno, telegram ana magrup kabsa ya porn ila anaona kama sijui vile but kitandani yupo vizuri.
 
Kwa kweli kuna shetani kule anakuvuta ukiangalia moja utataka na ya pili..mimi nimejaribu kuacha kuangalia, saa nyingine naweza kukaa hata wiki mbili baadae narudi tu dhambini 🀣 🀣 🀣


πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…