Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Rebecca you are not bridging gap for fruitful intimacy!!!?
 
Pornography ni upotezwaji wa fikra za namna flani ilokaa kiburudani ni mbaya lakin kujizuia pia ni ngumu
Bila porno mambo ya 0712 12inches vibamia Mitungo na mengne ya ajabu yasingeshamiri hivi nawaza bila izo sijui waafrika tungepata wapi ujasir wa kunyonya michumvi ile
 
Kaka huwezi sema aliebuni kisu kachangia watu kuchomana visu...ukiangalia kila jambo duniani limekuja Kwa kusudio moja lakini bila kutarajiwa likatokea jambo lingine kupitia hapo hapo.
"Sukari na sumu vyote vinauzwa dukani"
 
Porn watu wengi wanakataa huwa hawaangalii ila ni kati ya vitu vinavyotizamwa sana mtandaoni. Kuna dada nilimuwekea anti virus kwenye pc yake ikablock harmful sites hadi izo za porn, haikupita siku akanitafuta niitoe anakosa uhondo
Hahaha uliweka mchanga kwenye kitumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…