Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Pornography ni upotezwaji wa fikra za namna flani ilokaa kiburudani ni mbaya lakin kujizuia pia ni ngumu
Bila porno mambo ya 0712 12inches vibamia Mitungo na mengne ya ajabu yasingeshamiri hivi nawaza bila izo sijui waafrika tungepata wapi ujasir wa kunyonya michumvi ile
 
Mzungu katika hili la kutuletea smartphone kachangia sana kupeleka watu motoni..mbaya zaidi hizi sites asilimia kubwa ni free,yaani ni bando lako tu! Unakuta mtu kajipinda ana searche tu style za ngono..wengine wanacheki mpaka za jinsia moja..na ndio mwanzo wa kuwa choko kwa wanaume na usagaji kwa wanawake!
Kaka huwezi sema aliebuni kisu kachangia watu kuchomana visu...ukiangalia kila jambo duniani limekuja Kwa kusudio moja lakini bila kutarajiwa likatokea jambo lingine kupitia hapo hapo.
"Sukari na sumu vyote vinauzwa dukani"
 
Porn watu wengi wanakataa huwa hawaangalii ila ni kati ya vitu vinavyotizamwa sana mtandaoni. Kuna dada nilimuwekea anti virus kwenye pc yake ikablock harmful sites hadi izo za porn, haikupita siku akanitafuta niitoe anakosa uhondo
Hahaha uliweka mchanga kwenye kitumbua
 
Back
Top Bottom