Mkuu nime gundua swali lako ni zuri sana,sema ume uliza watu
wenye matatizo mengi sana katika maisha yao,na wana tafutia pa kupumulia.
Ni vizuri sana kama utakaa nae,muulize akimaliza kuangalia hua ana fanya nini?
Ana faidika nini?
Anaangalia kwa mda gani?
Kuna nini ana jifunza?
Alianza lini?
Nani alimfundisha?
Maswali haya yata kufanya ujue ni kipi ana pungukiwa,kama baba kaanae uongee nae ili ajue
madhara ya kuangalia (ambayo ndio umetaka kujua hapa ili uongee nae,hatua nzuri)
Kilicho nisikitisha ni kwamba kila akiangalia una mpiga!!
Kwanini unaona kumpiga ndio suluhisho la yeye kuto kuangalia?
Ukimkuta anaangalia,(lazima utaona pia alicho kua anaangalia ) una jisikiaje?
Kama ni vibaya,anzia hapo hapo,hilo ndio baya la kwanza la kumuonya nalo,...ukimpiga ataanza
kuangalizia kwa marafiki (na huko akiangalia za wanaume kwa wanaume na yuko na rafiki zake
itakua mbaya zaidi).Shukuru sana anaangalizia nyumbani,...usimpige.
Haya ni moja kati ya matokeo ya kuangalia picha za ngono,ata jichua.
Kujichua kuna faida na hasara zake,ina tegemea na anae jichua ana jichua hivo
akiwa na mawazo gani,yuko na nani,na kwanini. Ni somo pana sana hili.
Kwa umri wake,hili nalo ni zuri kwa upande mmoja,ita mfanya asiwe na hamu na
videmu,lakini kwa picha ya baadae sana,sio nzuri kwake. (faida za mda mfupi hizi)
Kwa ufupi tu ni kwamba,mwambie sio nzuri kisaikolojia.
Hadi ajue kupigana na saikolojia yake wakati ana litenda (kujichua,matokeo ya picha za ngono) hatakua
ana faidika na picha hizo.
Hasara nyingine ni kwamba asipo jichua,atatafuta dadapoa,ata kanyaga umeme na una mpenda sana
kumpoteza.
Angekua mtu mzima (kama wewe) haya ni muhimu sana,ila kama tu gari yako haiwaki
hadi isukumwe.
Asante.
Mwisho.
Engliberm ,
Type na wengine,....Hizi ni dharau za kijinga,hamna faida yoyote mnayo ipata kwa dhihaka hii.