Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Huwa simuelewi mtu anaesema kuwa hawezi kuacha kitu fulani..

Addiction yeyote ni kujiendekeza.

Na ukishakiri huwezi kuacha na hutaacha.

Adjust ur mindset kuwa utaacha na ustick to it.
 
Habarin wana jamvin. jamani naomba msaada wa ushauri ila mwenye matusi yake plse asicomment kitu.

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihis nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuh kabla ya kujiandaa kwenda kazin niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani. Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. nilijaribu kua nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazin lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoez mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni
Down in the human heart.... Touched by a loving arm.... Chords that are broken... Will vibrate once again...!!!
Hii hali huwatokea wengi wa jinsia zote, baada ya kubaki single kwa sababu zozote zile na kukosa mbadala anayefanana na penzi la awali
Jitahidi kuepuka hiyo hali japo ni ngumu sana bado maisha yanakuhitaji... Mwombe Mungu akupe mwenza haraka hiyo hali itaisha
Uko katika msongo wa mawazo unahitaji sexual satisfaction lakini hupati mtu sahihi kwahiyo unajiliwaza na porns... Wengine ni pombe wengine usagaji wengine punyeto wengine madawa nknk
 
Siku ukiacha kuangalia, utajikuta unatafuta anayefanana na wa kwenye movie. Sasa hapo utazalisha tabia nyingine tata sana. Sababu utajivisha ualisia kama kwenye porn movies na utasahau kwamba zile ni action scene moja yaweza rekodiwa wiki na wanaunganisha vipande tuu ili wapate good quality with stamina.

Kwa huo umri wewe sio binti ni mmama, sasa kamata mtu akuliwaze maisha yasonge, punguza kuchagua saaaaaaaana na sasa unajiongezea kigezo kingine bila kujijua cha awe na uwezo wa kufanya ngono kama kwenye movie, hiyo kitu haifutuki kirahisi, utaacha kuangalia but yale matukio yataendelea kuwepo na utataka mtu wako naye awe vile, akiwa tofauti hatakuridhisha utaanza dharau na list itaongezeka zaidi na zaidi. Vish
 
kama kwa sasa huna basi tafuta mtu awe mbadala wa hizo porn
 
Hivi kuna chaputa ya wanawake?teh...
Dada hakuna solution ya tatizo lako zaidi ya kusali..punguza kuangalia taratibu taratibu huku ukisali...
Funga na kusali hakuna linaloshindikana,all the best
 
Unataka uxhauri maana kuacha huwezi endelea kujitusua mdada kwa raha zako
 
Shyeeeh! 4:47 AM naona ndo ulikuwa wajipa morning glory binti.

Hope yuzid device wozinti a gunzi.
 
Uko safe place huko hakuna ukimwi wala hakuna dukuduku "sijui mwezi huu nitaingia bleed"? Raha jipe mwenyewe ya nn kuanza kuwaza wanaume wanaotumia tumbo kufikiri?
 
Tuambie kwanza unapenda kucheki porn site gani
Phonerotica
Pornhub
Blazers
Sextubes
Ebony xxx
 
Habarin wana jamvin. jamani naomba msaada wa ushauri ila mwenye matusi yake plse asicomment kitu.

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihis nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuh kabla ya kujiandaa kwenda kazin niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani. Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. nilijaribu kua nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazin lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoez mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni

Uko controlled na evil spirits.. you need deliverance
 
Unataka kulalwa na vichaa na mateja sasa,utumwa wa ngono ptuu
 
Wakikutukana usishangae maana huko ni kujiendekeza.

Nafsi ya mwanadamu inakuwa controlled na vitu viwili (1) Evil spirit (2) Holy spirit. Sasa we ndugu upo upande gani? Hakuna namna utajinasua na huo mtego kama sio muhudhuriaji mzuri wa ibada ambako utafundishwa kumwogopa Mungu.

Utajitahidi weeeee uache but hutaaacha nakwambia kwasababu kuna roho chafu nyuma yake!! Chagua kusuka au kunyoa.

Kutokuhudhuria ibada ni kujiendekeza, na kama unahudhuria basi ni ile kufata mkumbo huna lolote kwenye kichwa chako.

Pole yako
Suluhisho lake liko hapa
 
Siku ukiacha kuangalia, utajikuta unatafuta anayefanana na wa kwenye movie. Sasa hapo utazalisha tabia nyingine tata sana. Sababu utajivisha ualisia kama kwenye porn movies na utasahau kwamba zile ni action scene moja yaweza rekodiwa wiki na wanaunganisha vipande tuu ili wapate good quality with stamina.

Kwa huo umri wewe sio binti ni mmama, sasa kamata mtu akuliwaze maisha yasonge, punguza kuchagua saaaaaaaana na sasa unajiongezea kigezo kingine bila kujijua cha awe na uwezo wa kufanya ngono kama kwenye movie, hiyo kitu haifutuki kirahisi, utaacha kuangalia but yale matukio yataendelea kuwepo na utataka mtu wako naye awe vile, akiwa tofauti hatakuridhisha utaanza dharau na list itaongezeka zaidi na zaidi. Vish

Napenda hii, nami pia naamini hivyo.
 
Back
Top Bottom