Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

Pole sana. Mimi nilipokuwa chuo nilikuwa addicted kiasi ambacho hata kula nilikuwa sili (hasa chai) nilikuwa nikiangalia kichwa kinauma na kulala usingizi kutwa nzima baadae nikaona madhara yake ni kuchafua boxer, mb.. kuuma baada ya punyeto na kuwavua jinsia ya kike. Nilijitahidi kufanya mazoezi ya viungo na kuhudhuria ibada kanisani nikawa napunguza. Siku hizi labda mara 1 kwa miezi 3 (au hakuna kabisa). Fanya commitment uache
 
Ni PM, mim nlikua muhanga wa hayo nikupe maujanja
 
Pole sana,ila jitahidi sana kukifanya kifaa chako kisikuendeshe kinavyotaka chenyewe,kama unatumia sim kuangalia hizo basi jitahidi simu yako isikuendeshe kiasi hicho.
 
Habarin wana jamvin. jamani naomba msaada wa ushauri ila mwenye matusi yake plse asicomment kitu.

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihis nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuh kabla ya kujiandaa kwenda kazin niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni
Je unafanya mapenzi kila baada ya muda gani?
Je mara baada ya kufanya bado unatamani kuendelea kuangalia porn movies?
Tuanzie hapo.
 
Huo ni upweke dada!pole sana usipende kua peke yako,fanya vitu vya kukuchosha kuanzia mwili mpaka akili,mazoezi ya viungo kucheza mziki na n.k lakini kubwa zaidi muombe Mungu akuondoe kwenye masahibu hayo kwa kukupatia mimi hapa yes Mimi ndio kulitibu tatizo lako.kila LA kheri
 
Hivi kuna chaputa ya wanawake?teh...
Dada hakuna solution ya tatizo lako zaidi ya kusali..punguza kuangalia taratibu taratibu huku ukisali...
Funga na kusali hakuna linaloshindikana,all the best

Dawa ni kuwa na boyfriend tu. Upweke pia unachangia.
 
Huo ni upweke dada!pole sana usipende kua peke yako,fanya vitu vya kukuchosha kuanzia mwili mpaka akili,mazoezi ya viungo kucheza mziki na n.k lakini kubwa zaidi muombe Mungu akuondoe kwenye masahibu hayo kwa kukupatia mimi hapa yes Mimi ndio kulitibu tatizo lako.kila LA kheri

Upweke upweke upweke. That is it. Wanasema an idle mind is the workshop of the devil.
 
Mbona tupo wengi tu humu tunaopitia huko. Cha msingi unaangalia ili iweje!!?
 
Nafsi ya mwanadamu inakuwa controlled na vitu viwili (1) Evil spirit (2) Holy spirit. Sasa we ndugu upo upande gani? Hakuna namna utajinasua na huo mtego kama sio muhudhuriaji mzuri wa ibada ambako utafundishwa kumwogopa Mungu.

Utajitahidi weeeee uache but hutaaacha nakwambia kwasababu kuna roho chafu nyuma yake!! Chagua kusuka au kunyoa.

Kutokuhudhuria ibada ni kujiendekeza, na kama unahudhuria basi ni ile kufata mkumbo huna lolote kwenye kichwa chako.

Pole yako
Very well said.
 
Ila i'm curious need 2know more changa kwa maana ya muda wa kuanzishwa au how often zinakuwa updated,ubora wa content,search functionality, au pop up za kuudhi majibu tafadhali.


Ndio hayo ila vikubwa zaidi ni ratings,viewers pamoja na updated

Site nlizokutajia hapo juu zinapata viewers wengi kuliko hata mashirika makubwa ya utangazaji Duniani
 
Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndo nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki. Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza 😱.

Asanteni..
Jaribu kuwa unakaa karibu sana na kaka yako uwe nae vr crs. fasta tuu utaacha
 
Back
Top Bottom